Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo mhindi wa premier betting hajaweka madrid,as roma na juventus. Hebu niwekeeni timu 11 zinazoshnda leo!
 
Mwenye mkeka anaouona unaenda enda tupien humu tafazali ili tukopi.... natanguliza shukran
 
1.juve 2.as roma 3.arsenal 4.liver 5.madrid 6.mancity 7.celtic. Ongezen na zingine
 
Mkuu unaweza kunifafanulia tofauti ya normal bet na handcap bet...plz

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

normal bet ni kutabiri kawaida na point zake huwa chache kulinganisha na handcap. Handcap ni betting ambayo timu dhaifu katika mech husika ambayo inaonekana dhahiri itafungwa huwa ina pewa goli 1. Kwa mfano arsenal na fulham timu dhaifu kimtazamo ni fulham, hivyo hupewa goli 1. Kwa maana hiyo ukibet handcap win kwa asenal lazma ashinde kwa interval ya goli 2, mfano arsenal 2 fulham 0 au 3-1 au 4-2. Lakini tofauti ikiwa goli 1 mfano arsenal 1 fulham 0 au 2-1 game hapo itakua draw katika handcap beting. Na endapo fulham akidroo ktk handcap atakua ameshinda. Hiyo ndo tofaut ya normal na handcap. Ila handcap inakua na point nyingi sana kwasababu ni ngum sana kuitabiri.
 
Ahsante sana mkuu kwa ufafanuz nimekuelewa vizur.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Leo business imekubali newcastle,Middlesbrough na Milwall sasa nawekeza mpunga woooote kwa Liverpool
 
Back
Top Bottom