Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Leo mhindi wa premier betting hajaweka madrid,as roma na juventus. Hebu niwekeeni timu 11 zinazoshnda leo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo mhindi wa premier betting hajaweka madrid,as roma na juventus. Hebu niwekeeni timu 11 zinazoshnda leo!
roma na juve mbona zimo kwenye list nimeziona
kwenye simu yangu imeishia no.80! We umeona kwenye nini?
kwenye simu yangu imeishia no.80! We umeona kwenye nini?
leo jmos kuna list mbili achana na normal early ingia normal late utazikuta
Wekeni handcap win kwa madrid,livapol,arsenal na mancity. Weka buku 10 upate buku 55..
Mkuu unaweza kunifafanulia tofauti ya normal bet na handcap bet...plz
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
normal bet ni kutabiri kawaida na point zake huwa chache kulinganisha na handcap. Handcap ni betting ambayo timu dhaifu katika mech husika ambayo inaonekana dhahiri itafungwa huwa ina pewa goli 1. Kwa mfano arsenal na fulham timu dhaifu kimtazamo ni fulham, hivyo hupewa goli 1. Kwa maana hiyo ukibet handcap win kwa asenal lazma ashinde kwa interval ya goli 2, mfano arsenal 2 fulham 0 au 3-1 au 4-2. Lakini tofauti ikiwa goli 1 mfano arsenal 1 fulham 0 au 2-1 game hapo itakua draw katika handcap beting. Na endapo fulham akidroo ktk handcap atakua ameshinda. Hiyo ndo tofaut ya normal na handcap. Ila handcap inakua na point nyingi sana kwasababu ni ngum sana kuitabiri.
1.juve 2.as roma 3.arsenal 4.liver 5.madrid 6.mancity 7.celtic. Ongezen na zingine
Mpira dk 90arseno wana chana mkeka aisee
Wekeni handcap win kwa madrid,livapol,arsenal na mancity. Weka buku 10 upate buku 55..