Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah.. mwaka umeanza vizuri haya ngoja na mie nichungulie
 
Bologna kanpotezea malaki..... naomba ushauri mechi za kesho wadau....
 
Bologna kanpotezea malaki..... naomba ushauri mechi za kesho wadau....

dah? Hiyo game ya bologna ilinipa shida sana kuitabiri coz wote ni vibonde. Ikabid nimpe mwenyeji catania ambaye anashika mkia kwenye ligi.. Yani ukishaona gem nyeusi we mpe tu mwenyeji.
 
Vilareal,macabi,madrid,genoa,napoli wote jana handcap zimekubali.
 
Haya mambo mengine ya kujitakia, nilikua na team 3 sunderland,leyton na valencia, nikaacha leyton nimechukua valencia coz of good odds, mkeka chaliiiii
 
Mi sikutaka stress nilichukua wanangu vitese, qatar na leyton
 
man u man u hata na sunderland bado ni shidaa! r.i.p my mkeka!
 
Nipe maelekezo ya m bet wadau..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
jana umefanikiwa via vodacom? Jana kila nikilipia naambiwa kuna tatizo la kiufundi!! Nikakosa mzigo wakati mesi,ibrahmovic,olimpiakos na st.enne waliutendea haki mkeka

nilifanikiwa deo. Tena mkeka wangu ulinona sana. Niliweka spothng lisbon b, penafel,fiorentina,st etiene na mancity. Nimepata hela nzuri sana. Yan uzuri wa beting ya voda mtu unaweza kujiuliza mara ya pili.. Leo nawapa sociedad,inter na roma
 
Back
Top Bottom