Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ok mkuu swali ni hivi,
mfano Odds za Qpr na Derby ni 1.80 1.85 Je nampaje mmoja wakati nimeambiwa kila mmojawapo apate gori? na Madrid1.60 na Roma2.10 ni je utampa nani angali utabiri wako ni wa kila team kufunga? je wakifungana halaf uliyempa kazidiwa inakuaje? kwa aliyenielewa naomba anisaidie kuliweka sawa hili swali ama kunijibu msaada mtoto wa inzi
Ww mbona unajichanganya mwenyewe ukibet kila timu ipate goli ww hujaibetia timu moja kinachotakiwa kila timu ipate goli basi ikiwa 1-1 umekula au yeyote afungwe ila na huyo anayefungwa apate goli hata ikiwa 7-1 umekula
Ndomana mbet hiyo option kuna yes na no basi mambo mengi watajuana wenyewe
 
Jmn nataka kutia 300000 kwa hawa hapa Wolfsburg,Madrid & arsenal ...maoni yenu wadau plz
😱arsenal 300000/=, una moyo mgumu sana....... ila yote yawezekana katika yeye akutiaye nguvu, funga na kuomba aseee.... maana hesabu za wenger na wananchi wengine haziendi sawa kabisa anaweza weka kitu cha ajabu usiamini
 
Arsenal alichezesha kikosi dhaifu mechi ya Kwanza.....

Kumbuka kuwa walikuwa wana concentrate kwenye mechi ya UEFA na Barca.

hawakuipa Umuhimu sana mechi hii. Ila hivi leo bila shaka wataibuka na matokeo.... Ukizingatia na presha wanayotoka nayo Ligi kuu.

Sioni jinsi ambayo Arsenal anaweza poteza mechi hii ya leo, licha ya kuwa yupo Ugenini.


Hull City vs Arsenal : Arsenal to WIN
 
😱arsenal 300000/=, una moyo mgumu sana....... ila yote yawezekana katika yeye akutiaye nguvu, funga na kuomba aseee....
Kama ana roho ngumu aweke mechi mbili tu ya madrid na ya wolsburg wote wawili waongoze vipindi vyote viwili alafu aweke hata 30000 tu asikilizie hela yake
 
08460a58351b2873521b847ae1f301e1.jpg
. Angalia ukiona vp lipia ukiona ovyo angalia za kuzpunguza
 
Ok mkuu swali ni hivi,
mfano Odds za Qpr na Derby ni 1.80 1.85 Je nampaje mmoja wakati nimeambiwa kila mmojawapo apate gori? na Madrid1.60 na Roma2.10 ni je utampa nani angali utabiri wako ni wa kila team kufunga? je wakifungana halaf uliyempa kazidiwa inakuaje? kwa aliyenielewa naomba anisaidie kuliweka sawa hili swali ama kunijibu msaada mtoto wa inzi

unaona hapo kwenye nyekundu mjomba hujaeleweka asee... ngoja nijaribu kuishughulisha halamashauri ya kichwa , sijui nimeelewa sawa ....unamaanisha qpr kupata goli hata moja odd yake ni 1.8 na odd ya derby kupata goli ni 1.85 , madrid kupata goli ni 1.6 na roma ni 2.10 , au !!!! jaribu kuchagua hizo timu then screenshot tuione tukueleze usiilipie ....maelezo kama hayajitoshelezi flani mkuu
 
Siku ya leo watu wamechambua mechi hadi raha
Hongereni wote wana jukwaa
Nimefurahia sana siku ya leo
Leo tutashinda wote
Tusiweke timu nyingi lakini
 
Kuweni makini na Arsenal jamani maana siku zote timu kubwa ndo zinaongoza kuwanyima watu hela
 
unaona hapo kwenye nyekundu mjomba hujaeleweka asee... ngoja nijaribu kuishughulisha halamashauri ya kichwa , sijui nimeelewa sawa ....unamaanisha qpr kupata goli hata moja odd yake ni 1.8 na odd ya derby kupata goli ni 1.85 , madrid kupata goli ni 1.6 na roma ni 2.10 , au !!!! jaribu kuchagua hizo timu then screenshot tuione tukueleze usiilipie ....maelezo kama hayajitoshelezi flani mkuu

anyway nilimaanisha nabet vipi mkeka wa both team to score, na ili nishinde matokeo yaweje? mfano ni kwamba team niliyoipa ina odds kubwa then ikafungwa 4-1 je nakuwa nimepuna?
 
Real Madrid walishinda goli 2 - 0 katika mzunguko wa kwanza dhidi ya AS Roma. wana nafasi kubwa sana ya kutinga robo fainali.

Katika mchezo wa leo, Real Madrid wana nafasi ya kuibuka washindi.... ukizingatia walitengeneza Nafasi nyingi sana katika Mkutano wa kwanza.

Real Madrid wakiwa katika Uwanja wa nyumbani, wakiungwa mkono na idadi kubwa ya Mashabiki.

Bila kusahau self confidence walio nayo..... Sina chembe ya shaka kuwa watashinda.

Real Madrid vs AS Roma: Real Madrid to WIN.
 
Back
Top Bottom