Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nachomuogopea Cardiff... Game za nyumbani 13 hajapoteza na mechi 6 za nyumbani kashinda 5... Leeds hajashinda game 5 zake za away.... Anaweza kulazimisha sare.... Cardiff ana asilimia kubwa ya kushinda ila naogopa mazingira ya mechi....
 
wolfs... mbona hakuna anayemtilia shaka? wooote mmempa 100%¿
 
Nachomuogopea Cardiff... Game za nyumbani 13 hajapoteza na mechi 6 za nyumbani kashinda 5... Leeds hajashinda game 5 zake za away.... Anaweza kulazimisha sare.... Cardiff ana asilimia kubwa ya kushinda ila naogopa mazingira ya mechi....
Kama ni hivyo najilipua nampa cardiff akitoa droo potelea mbali
 
vp hapa
Arsenal
Birmingham
Cardiff
wolves
Madrid
hapo nmtoea nan??
 
Kuna hizi game kwa wale wa +
Birmingham 2+
Rotherdam 2+ 2,
Wolverhampton 2+,
Cardiff 2+ 1,
Fulham 3+,
Huddersfield 2+,
Madrid 3+ 1,
Wolfsburg 2+,
Fylde 2+,
Oxford 2+
Ekgin city 2+
Grimsby 2+
Bristol rovers 2+...

CHOMOKA NA CHACHE HAPA
 
Wolfs ushindi % akifa mikeka yote itakufa....sawa na madrid vs atletico aliua mikeka mingi alipofungwa na atletico
 
Back
Top Bottom