Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
Namfata mkuu bado mojaNimemcheki rekodi yake akiwa nyumbani hasa akikutana na team anayocheza nayo huwa anafanya poa.
Namfata mkuu bado mojaNimemcheki rekodi yake akiwa nyumbani hasa akikutana na team anayocheza nayo huwa anafanya poa.
Nan Cardiff ndo umemchekNamfata mkuu bado moja
Namfata mkuu bado moja
Nlitegemea ungeweka mbadala wake.Bayern Munich ana rekodi nzuri sana nyumbani ktk ligi ya Ujerumani lkn wakaja kupoteza kwa timu isiyojulikana ya Fc Mainz, don't trust them 100%.
Mkuu mm nakufata kama zilivyoChondechonde wapendwa,ijapo record ya DOVER ni nzuri mno ukilinganisha na mpinzani wake,kitendo cha kupewa odd 1.41 naiona DRAW ya nguvu tena ya kufungana,ikitokea ameshinda ni bahati yake sana.
Leo iwe hivi.
R.Madrid
Wolfsburg
Arsenal
Middlesbrough
Cardiff
Tuendelee hivyohivyo kushirikiana hadi tupate timu za kuweka ikitokea timu ikazingua inaeleweka itakuwa bahati mbaya tuLEO MBARIKIWE USHIRIKIANO MKUBWAA,
Kwa haraka haraka hizi timu zimepewa chapuo sana
R.MADRID
WOLFSBURG
CARDIFF
BURNLEY
GRIMSBY
BRISTOLS
MIDDLESBROUGH
Uzuri mechi ziko usiiiku.... Mda bado.... TuendeleeeTuendelee hivyohivyo kushirikiana hadi tupate timu za kuweka ikitokea timu ikazingua inaeleweka itakuwa bahati mbaya tu
Umenikumbusha Hibernian vs Morton Hibs akapigwa tatu bila nyumbaniChondechonde wapendwa,ijapo record ya DOVER ni nzuri mno ukilinganisha na mpinzani wake,kitendo cha kupewa odd 1.41 naiona DRAW ya nguvu tena ya kufungana,ikitokea ameshinda ni bahati yake sana.
Leo iwe hivi.
R.Madrid
Wolfsburg
Arsenal
Middlesbrough
Cardiff
Lete mambo mtoto wa inzi nishasema leo naweka 5000 mechi 5 sikosi elfu 50 na.....Uzuri mechi ziko usiiiku.... Mda bado.... Tuendeleee
Kumbe kweli inatokeaUmenikumbusha Hibernian vs Morton Hibs akapigwa tatu bila nyumbani
Mkuu mc chere nakuamini sn nipe timu tano tu nitie mzigoChondechonde wapendwa,ijapo record ya DOVER ni nzuri mno ukilinganisha na mpinzani wake,kitendo cha kupewa odd 1.41 naiona DRAW ya nguvu tena ya kufungana,ikitokea ameshinda ni bahati yake sana.
Leo iwe hivi.
R.Madrid
Wolfsburg
Arsenal
Middlesbrough
Cardiff
BraintreeKumbe kweli inatokea
Duuh kweli wolfburg anashinda hii game hadi umemrudiaGG
wolfsburg
inter zapresic
korona kielce
wolfsburg
dover
M-bet ndio kiboko yaoKati ya mkeka bet na M-bet ipi ni nzuri kwa online betting?
Mkuu meridianbet ndo babalababa full optionsKati ya mkeka bet na M-bet ipi ni nzuri kwa online betting?
Mtoto wa nzi ebu tushauriane kati ya:Braintree
Middlesbrough
Burnley
Wolfsburg
Arsenal
Hapo vipi mdau....