Proffesor
JF-Expert Member
- Aug 13, 2014
- 2,170
- 3,028
Mkuuu tuelekezane hockey mkuuuukamatia fursa twenzetu
Mkuuu tuelekezane hockey mkuuuukamatia fursa twenzetu
Tupo pamoja mkuu ila hapo kwenye sparta sijakuelewa unawekajeLaki tatu naweka
Dortmund win
Shaktar win
Atletico win
Sparta P I 1*1
Sparta ashinde kipindi chochote.... Mfano kipindi cha kwanza kikaenda sparta anaongoza 1-0 hata mechi ikiisha kufungwa 2-1 wewe umeshinda... Kama kaenda half time kufungwa basi mechi iishe kashinda....Tupo pamoja mkuu ila hapo kwenye sparta sijakuelewa unawekaje
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Sparta mm nampa ushindi wa kawaida namuamini mbele ya lazioSparta ashinde kipindi chochote.... Mfano kipindi cha kwanza kikaenda sparta anaongoza 1-0 hata mechi ikiisha kufungwa 2-1 wewe umeshinda
Kaka hizo website ndiyo wana toa predictions 100%Kama unapenda hockey wapitie www.vitibet.com prosoccer na oddshark.... Michezo ya hockey inachezwa kwa vipindi vi3 vya dakika 20.... Wakilingana baada ya vipindi vi3 unaongezwa muda Wakilingana tena zinapigwa penati lazima mshindi apatikane... Lakini magoli yeyote na ushindi wowote baada ya dakika 60 havihesabiki
Hapana hakuna kitu kama 100% accurate...... Wanajitahidi kama 80% flan.... Ndio ujiongeze kufatilia hizo ligi za hockey.Kaka hizo website ndiyo wana toa predictions 100%
Nasikiaa hockey n afadhal kuliko soccer. ..Hapana hakuna kitu kama 100% accurate...... Wanajitahidi kama 80% flan.... Ndio ujiongeze kufatilia hizo ligi za hockey.
Ushawahi kuuona hata unavyochezwa!!!! Ni mchezo wa kibabe sana..... Hivyo mbabe mbabe tu.... Ila ndio sometym mbabe anapinduliwaNasikiaa hockey n afadhal kuliko soccer. ..
Sija bahatika kuuona mkuuu huu mchezooUshawahi kuuona hata unavyochezwa!!!! Ni mchezo wa kibabe sana..... Hivyo mbabe mbabe tu.... Ila ndio sometym mbabe anapinduliwa
Haahaahaa mhindi kakaa janaMmh hapo kwa Palmeras na zenit hao wote hawaaminiki, but worthy taking a risk.
Mi natembea hivi
freimunde
famalica
feirence
zote zinashinda naweka mzigo wa pasua kichwa tutaonana Kesho asubuhi.
Uangalie YouTube jaribio NHL ya USA na KHL ya urusi... Sweden na Czech pia kidogo ni nzuriSija bahatika kuuona mkuuu huu mchezoo
Nilikufata mkuu nkaongeza na zngu mbili zikatembeaHaahaahaa mhindi kakaa jana
Ntaichek mkuu... vp kaka ushawah ku bet hockey mkuuuuUangalie YouTube jaribio NHL ya USA na KHL ya urusi... Sweden na Czech pia kidogo ni nzuri
Hyo virraleal na leverkusen na mechi ya man u kweli watatoa hizo goli lakini? Na wasi wasikamatia fursa twenzetu
watoe ongeza dauHyo virraleal na leverkusen na mechi ya man u kweli watatoa hizo goli lakini? Na wasi wasi
Poawatoe ongeza dau
Mi hapo Sparta nimemtoa, nyingine zote tupo sawa.Laki tatu naweka
Dortmund win
Shaktar win
Atletico win
Sparta P I 1*1