Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndio naangalia mkeka wangu saa hii na hiki ndisho nilichokiona
 
Laki mbili sio mchezo huwezi amini mkeka huu ulivyochanwachanwa. Root na Mtoto wa nzi sio bure mna namna aise
Jamaa una roho ngumu yani mitimu Yote hiyo unaweka jiwe 2 bila wasiwasi au ulichanganyikiwa na hela utakazoshinda.
 
Ndio naangalia mkeka wangu saa hii na hiki ndisho nilichokiona
Nisaidie jinsi ya kujiregister meridian nimekwama kwenye kipengere cha promo code na postcode. Naomba nisaidie mkuu hizo code nazipatavipi.?
 
Nisaidie jinsi ya kujiregister meridian nimekwama kwenye kipengere cha promo code na postcode. Naomba nisaidie mkuu hizo code nazipatavipi.?
bora ujiunge na kampuni nyingine tu, meridian ni wangese.
 
Wakuu baada ya arsenal na man u kunichania mkeka wangu jana, leo naomba ushauri wenu tafadhali

Leicester win
Benfica win
 

Attachments

  • 1457943639574.jpg
    42.9 KB · Views: 52
Nisaidie jinsi ya kujiregister meridian nimekwama kwenye kipengere cha promo code na postcode. Naomba nisaidie mkuu hizo code nazipatavipi.?
Nenda shop yoyote utaziona izoo promo code wanazibandikaga ukutani
 
Hivi unawezaje kuona mkeka wako uliousubmit kwenye MKEKA BET kama ilivyo kwa M-BET?
 
Leicester
Austria lustenau
Midstyland
Valarenga
Dinamo Bucharest
Laussane
Allesasandria
Bochum
Cagliari
Granada
Auxerre
Garcillaso
Palestino
Godoy cruz
Boca juniors
Eindhoen
Emmen
Almere

Jichagulie Kadhaa kwa 2-6
 
Nataka kesho nijilipue hapo, ushauri wenu wakuu
 

Attachments

  • 1457974961725.jpg
    47.7 KB · Views: 55
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…