Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
mbona naitumia..hapa nawaandalia wananchi desa....Jaman website ya Meridian siipati tena.. wamekimbia na hela yetu nini?
Atletico atakulaza muhimbili.Habar za asubuhi wakuu, Leo naona nitoke kiivi
Atletico win
Man city win
Maoni yenu Tafadhali kabla sijatupia mpunga
Ila mkuu mbona kama vile atletico ana opportunity kubwa sana ya kushindaAtletico atakulaza muhimbili.
Labda uweke double chance 1X mechi ya kwanza wali draw 0-0 uwezekano wa PSV kumdindia tena Leo upo.Ila mkuu mbona kama vile atletico ana opportunity kubwa sana ya kushinda
Lakini Leo atletico yuko homeLabda uweke double chance 1X mechi ya kwanza wali draw 0-0 uwezekano wa PSV kumdindia tena Leo upo.
Hata arsenal alikuwa home akafa.Lakini Leo atletico yuko home
Hizo ndio hela lakini watu tunaogopa, kama mtu haeleweki unaweka sare au unamuua kabisa kwani kubet lazima useme flan anashinda?ATLETICO anaweza kuumiza wengi siku ya leo,odd yake nimeanza kuiogopa kama ngoma vividly PSV alipewa 1.23,na AJAX kesho yake kapewa hiyohiyo 1.23 lakini waliDRAW ilihali walikuwa nyumbani na walikuwa wakicheza na wanyonge wao.
Nimemwambia hero atletico atamlaza muhimbili.Lakini Leo atletico yuko home
ATLETICO anaweza kuumiza wengi siku ya leo,odd yake nimeanza kuiogopa kama ngoma vividly PSV alipewa 1.23,na AJAX kesho yake kapewa hiyohiyo 1.23 lakini waliDRAW ilihali walikuwa nyumbani na walikuwa wakicheza na wanyonge wao.
Peterhead, besiktas na man city all to WIN.Ila mkuu mbona kama vile atletico ana opportunity kubwa sana ya kushinda
Mmhh timu za england zinazinguaga kinoma mkubwa anapigwa na mtoto.Wakuu Na hapa je.....
Oxford
Brighton
Hulcity
All win
Wakuu hizi timu 12 za M-Bet Super 1X2 vp? tupieni mikeka yake