Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ramli zimemkataa ipswich anaweza kudroo leo,
Mwenye hela aweke timu hizi nne
Man city
Atletico madrid
Brighton
Hull

All win, kesho anachukua hela yake
 
Ramli zimemkataa ipswich anaweza kudroo leo,
Mwenye hela aweke timu hizi nne
Man city
Atletico madrid
Brighton
Hull

All win, kesho anachukua hela yake
mkuu ntaufata hzo tmu japo nlikua na wasiwasi na hull kutoa draw,
 
mkuu ntaufata hzo tmu japo nlikua na wasiwasi na hull kutoa draw,
Mm nina wasiwasi na ipswich kuliko hull, kama unaufata ww ufate mm nishabet tayari ukiliwa ujue tumeliwa wote ukila tumekula wote
 
Jamani nafanyaje kuzuia email za uzi huu zisije? maana kila anaye comment lazima nipate email... msaada jamani, hii imeanza baada ya hii version mpya
 
Embu tusaidiane kidogo kuhusu namna ya kubet kwa kutumia website za nje maana za hapa ndani sasa naona nimeshazila vya kunitosha halafu nikicheki wanaweka ligi pasua kichwa, mtu unaweka mkeka utadhani upo kwenye mtihani wa fom 6 au UE ya carryover bwana.

Nimeona websites chache za nje kama be365, bwin, n.k zote zinaaccept customer from Tanzania ila sasa kwa hapa kwetu nani mwenye uzoefu na haya mambo maana shida ni jinsi ya kudeposit na kuwithdraw pesa zako. Embu wakubet tutumie hii furusa kuingiza pesa za kigeni nchini.

Wenu mkekaji wa hali ya juu.
Winnerian. (Winner one)
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ramli zimemkataa ipswich anaweza kudroo leo,
Mwenye hela aweke timu hizi nne
Man city
Atletico madrid
Brighton
Hull

All win, kesho anachukua hela yake
nmetumia huo lakn Meridian wana odds za kiboya sana natafuta premier betting uku arusha sion ofs zao
 
Back
Top Bottom