Ing'ang'a
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,866
- 1,284
Naomba Msaada Wazee ju ya Matumizi ya Over and Under na MagoliSa hv itabidi tuanze kucheza over na under naona ndo option iliyobaki
Mfano jana nmecheza hivi sema ckuwa makini kwa oxford...
Naomba Msaada Wazee ju ya Matumizi ya Over and Under na MagoliSa hv itabidi tuanze kucheza over na under naona ndo option iliyobaki
Mfano jana nmecheza hivi sema ckuwa makini kwa oxford...
Jumla ya magoal in 90minutes![]()
Wakuu nipeni msaada kwenye wire premier betting pale huwa ni over/under ya kila team au over/under ya jumla ya magoli yote?
Naomba Msaada Wazee ju ya Matumizi ya Over and Under na Magoli
Nimekuelewa nitakuwa makini na hiyo odd ya nuksiOdd 1.23
cc KICHUNA
Asante Kwa hiyo kama hapo 1 ni yes na 2 ni no?Jumla ya magoal in 90minutes
Ww unachanganya kwenye under/over hakuna yes wala noAsante Kwa hiyo kama hapo 1 ni yes na 2 ni no?
Yaani mfano wire 2.5 hapo ukiweka 1 inamaanisha nini na 2 inamaanisha nini?
Wire 1.5 yani goal zianzie 2+ 1(home team) 2(away team)Asante Kwa hiyo kama hapo 1 ni yes na 2 ni no?
Yaani mfano wire 2.5 hapo ukiweka 1 inamaanisha nini na 2 inamaanisha nini?
![]()
Wakuu nipeni msaada kwenye wire premier betting pale huwa ni over/under ya kila team au over/under ya jumla ya magoli yote?
![]()
Wakuu nipeni msaada kwenye wire premier betting pale huwa ni over/under ya kila team au over/under ya jumla ya magoli yote?
Nimekusoma, ila nimeona kama Kuna matokeo yatatoa washindi wengi kwa mfano ikiwa 0-0 basi 16 ,18 , na 20 wote wanakuwa wameshinda?HAYA CHUKUA NOTSI
16 - GOLI MWISHO NI MOJA ..lisizidi goli moja hapa 0-0 , 1-0 ama 0-1 ....ndio matokeo pekee yanatakiwa tofauti na hapo umeliwa ..sawasawaaaaaaaaa
17 - magoli yaanzie mawili na kuendelea , yaani hapa matokeo ya 0-0, 1-0, ama 0-1 hayatakiwi...sawasawaaaaaaaa
18 - hapa mkuu magoli yasizidi mawili, yaani mwisho magoli mawili .. matokeo yanayotakiwa ni 0-0, 0-1, 1-0,1-1, 2-0, 0-2 , yakifika matatu tu umeliwa ..sawasawaaaaaaaa
19 - magoli yaanzie matatu kwenda mbele ....matokea ya 0-0, 0-1, 1-0,1-1, 2-0, 0-2 hayatakiwi yakitokea umeliwa....sawasawaaaaaa
20 - magoli yasizidi matatu, mfano 0-0, 0-1, 1-0,1-1, 2-0, 0-2, 2-1, 1-2, 3-0 , 0-3 ....tofauti na matokeo haya umeliwa ...sawasawaaaaa
21 - magoli yaanzie manne kwenda mbele pungufu ya manne umeliwa ..sawasawaaaaaaaa
Nimekusoma, ila nimeona kama Kuna matokeo yatatoa washindi wengi kwa mfano ikiwa 0-0 basi 16 ,18 , na 20 wote wanakuwa wameshinda?
1Y - ni wa nyumbani ashinde na wafungane mfano. 2-1,3-2,3-1... Lakini ushindi wa bila ni 1N(soma maelezo chini)Results / Both Team to Score
1Y: 4XY: 5.20
2Y: 11.60
1N: 2.35
XN: 7.90
2N: 7.80![]()
![]()
hii kitu kwenye mkekabet maana yake nn?