Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

f9fdf1fee1c71bee4bc1b0c58689c228.jpg

Wakuu nipeni msaada kwenye wire premier betting pale huwa ni over/under ya kila team au over/under ya jumla ya magoli yote?
1=under na 2=over
Asante Kwa hiyo kama hapo 1 ni yes na 2 ni no?
Yaani mfano wire 2.5 hapo ukiweka 1 inamaanisha nini na 2 inamaanisha nini?
 
[4/4]
0079 16-03 22:45:00 Barcelona-Arsenal
Final Score 1 1.24
0081 16-03 22:45:00 Bayern Munchen-Juventu
Final Score 1 1.38
1250 16-03 19:00:00 FC Kobenhavn-Randers
Final Score 1 1.53
0132 16-03 20:30:00 Legia-Zawisza B.
Final Score 1 1.35
------------------------------------------
Total: 200000.00
------------------------------------------
Total odd: 3.53
Max payout: 706896.72
Combination count: 1
hiyo stake imefanya tumbo liungurume hasa ukizingatia idadi ya timu na hapo kwa juve mmmmh!
 
[4/4]
0079 16-03 22:45:00 Barcelona-Arsenal
Final Score 1 1.24
0081 16-03 22:45:00 Bayern Munchen-Juventu
Final Score 1 1.38
1250 16-03 19:00:00 FC Kobenhavn-Randers
Final Score 1 1.53
0132 16-03 20:30:00 Legia-Zawisza B.
Final Score 1 1.35
------------------------------------------
Total: 200000.00
------------------------------------------
Total odd: 3.53
Max payout: 706896.72
Combination count: 1
Mkuu sikushauri uweke ya pointi 1.5 due to my experience huwa ni draw. Au kupigwa kabisa

Huyu mchana nilimshauri asiweke point 1.5 maana huwa inatoa draw...mi point 1.5 huwa siweki coz huwa inazaa draw
 
Back
Top Bottom