Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hahahahahaha mamamareeeeeeeeeeeeeeeeeee Bayern Munich anaondoka na kijiji humu huyo mwana aliweka laki mbili asije kufa kwa presha
 
hiyo stake imefanya tumbo liungurume hasa ukizingatia idadi ya timu na hapo kwa juve mmmmh!
wengine tulianza kuhofu mapema japo ni half time ila kwa mwendo huu kuna vilio vingi.....
ngoja tusubiri kipindi cha lala salama
 
[4/4]
0079 16-03 22:45:00 Barcelona-Arsenal
Final Score 1 1.24
0081 16-03 22:45:00 Bayern Munchen-Juventu
Final Score 1 1.38
1250 16-03 19:00:00 FC Kobenhavn-Randers
Final Score 1 1.53
0132 16-03 20:30:00 Legia-Zawisza B.
Final Score 1 1.35
------------------------------------------
Total: 200000.00
------------------------------------------
Total odd: 3.53
Max payout: 706896.72
Combination count: 1
Mkuu pole sana aisee kumbe mkeka umechanika mapema huyo fc kobenhavn ame draw betting imekuwa ngumu sana
 
Itabidi nistaafu kubet coz I'm gonna be crayz now, mpira hausomeki, ila nahisi mhindi anachezesha ndo maana mambo yanaenda vice vesa
 
FT.Barca 3-1 Arsenal
FT.Bayern 2-2 Juventus(at extra time 4-2)...
 
Wa leo huo.....
 

Attachments

  • Screenshot_2016-03-17-05-38-04.png
    Screenshot_2016-03-17-05-38-04.png
    31.2 KB · Views: 33
Back
Top Bottom