Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Hizi wanaita rahaja za kiswahili za mtaani ....Nyoko meana noma
Tmt means anaappreciate
...Haaaaahaahaaaaa..... Samata ni nyokooo
Hizi wanaita rahaja za kiswahili za mtaani ....Nyoko meana noma
Tmt means anaappreciate
wanaboa kinyama yaan kuna timu zimetik nilivyokua nataka wekaMeridianbet.co.tz ni shida leo.... Haifunguki tangu asubuhi
nipe 2-4 na 1-3Wa leo huo.....
Tumia ata supabet cyo lazima meridianwanaboa kinyama yaan kuna timu zimetik nilivyokua nataka weka
nilijiunga merid na mpunga wote upo kuleTumia ata supabet cyo lazima meridian
Jaribu kutumia western unionWazee wenzangu wale wa bet 365...nashindwa kudeposit naombeni maelekezo natumia master card
Kwann msitumie mbet? Wenzenu tunabet bila shida yoyote wala network haisumbui na ukila wala huangaiki inasubiri tu sms ya tigopesa fasta wanakutumiaJaribuni kuwa vizia meridian wanapatikana kwa manati
duu una moyo kaka45 mins: man u - liver draw odds 2. 02
Tottenham-dortmund, double chance home or away odds 1. 26
Braga- fenerbahce, over 0.5 first half odds 1. 46
Total odds 3. 74 nimeweka 250, 000 imeleta 963, 422
80%sure
M bet ni voda Na tigo tuMbet kila mtandao wanaruhusu?
Meridian kazi imewashinda. Na mkeka bet nao waoga wametoa option ya 1x..2x....12.hawa meridian bora waache kutoa huduma ya kubeti-tatizo miezi 2 sasa
Meridian kimeo balaam
nilijiunga merid na mpunga wote upo kule
Poa mkuu