Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Man u alipewa point 4 leo nina mashaka na hawa jamaa wa kubet cku ile hivyo hivyo kwa psg kweny uefa raund ya mwisho group stage
 
Ngoja niwape barca,atletico na psg nijue tu leo maumivu nimepgwa.
 
Hata barcelona leo pia ??? Salalaaaaaa!!!
 
Barca na Atletico wamechana sana mikeka jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…