Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu nataka nimtabilie Leicester city kuchukua ubigwa naona meridian wamempa odds 51 kama atachukua ubigwa hapo ukiweka 50 unapata million 2.5, vipi mnasemaje kuhusu Leicester wakuu
 
Jaman hawa watu nawatafuta sana vichwa hivi 1 king2 mtoto wa inzi3 winner 4 root wamepotea sana mwenye no zao anitumie prt
 
leo hela ipo hapa kwa wale tu wanao weka hela nyingi
Porto WIN
Levante WIN
Bologna WIN
 
Wakuu nataka nimtabilie Leicester city kuchukua ubigwa naona meridian wamempa odds 51 kama atachukua ubigwa hapo ukiweka 50 unapata million 2.5, vipi mnasemaje kuhusu Leicester wakuu

Hivi jamaa bado ana odd kubwa namna hiyo!

Hebu angalia tena mkuu, mimi kwangu inaonyesha 1.3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…