riro23
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 790
- 781
Napoli kafungwaBet won.
Napoli kafungwaBet won.
naona wadau wataanza kuku mind tena, kukata mzizi wa fitna tupia snapshotBet won.
Fernebache kachana mkeka dah nahitaj likizo ya muda kabla ya kurud tena
ni kweli mkuuTip:Jaman kuweka matimu mengi na stake ndogo ukitegemea kula pesa ndefu kila siku utabak dah katimu kamoja kameniharibia so nmejifunza ni bora kua na stake ya maana weka timu mwisho tatu zenye posibility kubwa unaeza ukawa unapiga pesa ,, mtazamo tu wadau ,, VITA DHIDI YA MHINDI
mkuu nanza kufatilia mikeka yako mimi mhindi ananifilisi.View attachment 334544
Machale yalinicheze nikamuacha. Tatizo Root leo niliweka hela ndogo ningemnyoosha kama jana
Hahaaaaaa! Yaani watu bhana wanataka mpaka mhindi anifukuze kubetnaona wadau wataanza kuku mind tena, kukata mzizi wa fitna tupia snapshot
nipe matokeo ya cruizeroLeo lazma niwapige
Huwa naweka kaka, sema huwa nikiweka watu wananiambia eti niprove lkn nishasema sio lazima ule kila siku lkn unaweza kuliwa kila siku.
Fenerbache hajafunga hata goli moja ndugu
View attachment 334544
Machale yalinicheze nikamuacha. Tatizo Root leo niliweka hela ndogo ningemnyoosha kama jana
Kivip bet won....0-0 ni over 1.5
Hiyo option ipo upande gani? Mwenyewe nawekaWakuu nataka nimtabilie Leicester city kuchukua ubigwa naona meridian wamempa odds 51 kama atachukua ubigwa hapo ukiweka 50 unapata million 2.5, vipi mnasemaje kuhusu Leicester wakuu
nipe ufafanuzi zaidWakuu nataka nimtabilie Leicester city kuchukua ubigwa naona meridian wamempa odds 51 kama atachukua ubigwa hapo ukiweka 50 unapata million 2.5, vipi mnasemaje kuhusu Leicester wakuu