Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo natoka hivi ...

  • Perth Glory vs Melbourne City = over 1.5 second half (odds 1.60)
  • Queensland vs Mitchelton = over 2.5 full time (odds 1.29)
  • Athletic Bilbao vs Granada = 1 win (odds 1.47)
  • Fenerbahce vs Osmaniyespor = over 1.5 full time (odds 1.24)
  • Udinese vs Napoli = over 1.5 full time (odds 1.23)
  • Novara vs Salernitana = over 1.5 full time (odds 1.30)
  • Ajax vs FC Zwolle = 1 win (odds 1.24)
---------- Total odds = 7.46 ----------

ushauri wenu tafadhari kabla sijatupia.
 
hawa meridian ma k sana , kila siku server error sijui ma IT wao wanafanya kazi gani-mbona kaampuni kama william hill haijawahi kuwa hv ngoja nitafute hela niingize kwenye account zangu za william hill na bet 365
walichofanya meridian weekend hii..yaan mtandao ukirud natoa mpunga wangu bora nkaweke supabet hawa meridian wanfany makusud mkuu waliona jana kulikua odds nzur sana na mech nyng sana zilikua zko direct so watakua wamechezea mtandao makusudi maana haiwezekan mtandao unasumbua mi nko moro toka juzi ucku cjaweza login au ukilogin inajilogout waliona cku ya jana online watapigwa
 

mkekabet nao wanazingua ... daah !! siwezi kulogin, wanasema "the password is wrong ... "
 
walichofanya meridian weekend hii..yaan mtandao ukirud natoa mpunga wangu bora nkaweke supabet hawa meridian wanfany makusud mkuu waliona jana kulikua odds nzur sana na mech nyng sana zilikua zko direct so watakua wamechezea mtandao makusudi maana haiwezekan mtandao unasumbua mi nko moro toka juzi ucku cjaweza login au ukilogin inajilogout waliona cku ya jana online watapigwa
sasa hivi upo vizuri!
 
1153857793547 Standard account
------------------------------------------
[2/2]
0684 03-04 13:00:00 Athletic Bilbao-Granad
Total Goals 2-6 1.31
1110 03-04 13:30:00 Basaksehir-Mersin IY
Total Goals 2+ 1.23
------------------------------------------
Total: 50000.00
------------------------------------------
Total odd: 1.61
Max payout: 80565.00
Combination count: 1
------------------------------------------
03-04 12:03:19
 
Nasubiri muda tu
3605105d1a27a19941e69911c307c029.jpg
 
Katika uchunguzi wangu nimebaini kwamba odds za 2.03/270 hutoa sare. Kama huniamini ziangalie gemu zenye odds hizo leo, Kwa kuwasaidia tu U. Madeila vs Vitoria Setubol 2.03/270,chekini matokeo yake leo.
 
1153857793547 Standard account
------------------------------------------
[2/2]
0684 03-04 13:00:00 Athletic Bilbao-Granad
Total Goals 2-6 1.31
1110 03-04 13:30:00 Basaksehir-Mersin IY
Total Goals 2+ 1.23
------------------------------------------
Total: 50000.00
------------------------------------------
Total odd: 1.61
Max payout: 80565.00
Combination count: 1
------------------------------------------
03-04 12:03:19
Mkuu hongera
 
Back
Top Bottom