Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo nmejaribu kubet tena baada ya kujaribu mara nne na kuliwa, nliweka bayern,atletico,arsenal,man city,dortmund,psg,juve zote win....nashukuru zimeenda sawa japo sikuweka stake ya haja sana
 
26ab9bf9c450e1c5d887f7339d366983.jpg
 
dah toka nimeanza kubeti meridian miaka 3 sasa sijawahi kuona imezingua siku nzima kweli leo kiboko
 
Screenshot_2016-04-03-00-03-04.png
Walionifuata naombeni basi mnitumie hata vocha! Najua sasa hivi mambo yote safi mikeka yote mitatu imetick.
 
Wakusoma jambo zuri hilo option za magoli zinatoa sana
Mimi huwa naweka must win tatu then NNE naweka 1+ or 2+ kwa wale wa mkekabet over 0.5 na 1.5 nimejaribu zinatoa japo Mara mojamoja zinazoharibu hazikosekani
 
Leo natoka hivi
Dynamo Zagreb
Aberdeen
Fc Copenhagen
Ajax
Novara
Aek Anthens
Panathoakos
Fernabache
Inter
Napoli

All to win
Nataka niweke 100 000 naombeni ushauri yupi abaki yupi atoke.
 
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa siku nyingine tena,
Baada ya kumsulubisha mhindi jana Leo natoka kihivi, atakayenifuata poa..
 

Attachments

  • 1459659382730.jpg
    1459659382730.jpg
    46.7 KB · Views: 42
Leo natoka hivi
Dynamo Zagreb
Aberdeen
Fc Copenhagen
Ajax
Novara
Aek Anthens
Panathoakos
Fernabache
Inter
Napoli

All to win
Nataka niweke 100 000 naombeni ushauri yupi abaki yupi atoke.
Wakubaki ni ajax panayhaikos fernabache na aberdeen
 
Wakusoma jambo zuri hilo option za magoli zinatoa sana
Mimi huwa naweka must win tatu then NNE naweka 1+ or 2+ kwa wale wa mkekabet over 0.5 na 1.5 nimejaribu zinatoa japo Mara mojamoja zinazoharibu hazikosekani
Ni kweli Mzawa asilia. Nilishasema huwezi kula kila siku ila unaweza ukaliwa kila siku. Hamna siku hata moja ambayo mhindi anapata hasara
 
Leo nipo hivi;
1. Fenevahche
2. Napoli
3. Dynamo Zagreb
4. Novara
5. Ajax

All over 1.5
 
Back
Top Bottom