Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nina hakika leo mhindi ameipata. Kwa umoja huu tutasonga mbele. Waliocheza magoli leo siamini kama kuna aliyeliwa.

Niliaandaa mikeka mitatu nikalipia mmoja na zote zimetick
 
Nina hakika leo mhindi ameipata. Kwa umoja huu tutasonga mbele. Waliocheza magoli leo siamini kama kuna aliyeliwa.

Niliaandaa mikeka mitatu nikalipia mmoja na zote zimetick
Hongera Wa kusoma!
 
Juve tunaongoza moja naiona million mbili zinanukiaaa
 
Niliweka mkeka wangu wiki kabla hapa na nilisema nitaweka laki moja leo. Sijawahi kushinda bet. Nikishinda leo itakuwa mara ya kwanza
 
  • Thanks
Reactions: pri
Bado mgeni jf sijajua jinsi ya ku upload attachment. Nielekeze plz. Niombee juve ishinde
 
Back
Top Bottom