Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mfano mtu ukaweka OVER 1.25 halafu mechi ikaisha 1-0 hapo mkeka umechanika??
 
Sioni mantiki hapa kwenye hili jambo la kamari, umepoteza eh ukapoteza eh na uzidi kupoteza ndo kamari ilivyo ni kuliwa tu mpaka akili ikae sawa, na utazidi kupoteza na siku ukambahatisha mhindi utaenda tena ukidhani utakula tena na ili uendelee kula utazidi kucheza kamari hapo sasa ndo utazidi kuliwa tena na tena, mchezo wa kamari ni zaidi ya kuwa risk taker nchi zinazoendelea kwenye kamari za ku-bet bado huu mchezo sio mahali pake maana ni kuliwa tu mpaka unakuwa masikini zaidi, ni vyema vijana tuwekeze pesa zetu kwenye vitu vya maana hata kama payback period ni long term,
Acha ufala wewe. Kwani mimi nikiweka stake ya 5000 kuna tofauti gani na wewe usiyecheza kamari unakunywa pombe. Mimi nikiweka cmwekei mtu na nategemea kupata. Wewe ukienda baa unakunywa wewe afu unawanunulia na wengine na hutegemei kupata.

Tuache bhana.....
 
Mkuu ni vema ukatuacha na ukaendelea na wew na investment zako akili ni nywele kila mtu na zake
 
Kubet kumekuwa kugumu saana.
.na siku kibao sijala hadi nishasahau but we live in hope

Its better to bet rather than drinking bear
 
Back
Top Bottom