winnerian
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 408
- 638
Jiunge bet365 (wana huduma nzuri dunia, halafu pia wanaweza chati na wewe muda wowote ukawauliza chochote wanakupa jibu zuri tu) na Bank yenye card zinazoweza kufanya mihamala ya kimtandao kisha weka pesa yako unataka uanze kurushia kwenye account yako bet365 (unaweza kufungua account ya shilingi (exchange rate inahusika) au dollar au pund au euro n.k. kisha anza kula pesa za kigeni.Mkuu naomba unielekeze vizuri jinsi ya kujiunga na hawa jamaa,process nzima iko vip?