Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kwa wale wadau wenzangu ambao hatutaki pressure za kubet, tuna bet for fun, huwa tunafanya hivi

1459577052997.jpg
 
hawa meridian ma k sana , kila siku server error sijui ma IT wao wanafanya kazi gani-mbona kaampuni kama william hill haijawahi kuwa hv ngoja nitafute hela niingize kwenye account zangu za william hill na bet 365
 
Aston Villa vs Chelsea
*Chelsea ✅
Sunderland vs w. Brom
*West brom✅
B/mouth vs Man city
*Double chance
Stoke vs Swansea
*Swansea ✅
Arsenal vs Watford.
*Arsenal ✅
W. Ham vs C. Palace
*West ham✅
Liver vs Tottenham
*Double chance
Atretico M. vs Betis
*Atretico ✅
LasPalmas vs Valencia
*Valencia ✅
Barca vs R. Madrd.
*Barca ✅
Juventus vs Empoli
*Juventus ✅
Bayern vs Frankfurt
*Bayern ✅
Dortmund vs bremen
*Dortmund ✅
Ingolstadt vs shalke 04
*Shalke 04✅
Psg vs Nice
*nice ✅
Toulouse vs Caen
*Caen ✅
 
Odds zinanitamanisha leo ni za
Man city
Liverpool
PSV

Nimuweke nani hapa?
 
Wazima wana JF,

Naomba kusaidiwa namna nzuri ya kubeti mchezo wa mpira kwani hadi sasa hivi ligi zinaelekea ukongoni sijawahi kushinda hata siku moja.

Huwa nafikiri labda huyu mhindi mchawi coz kila nikielekea kushinda utaona timu moja inaharibu.

Tafadhali nisaidieni kama kuna mtaalamu wa hii kitu nataka nimfanye mbaya mhindi kwenye EURO 2016.

Usinishauri eti niache ni kitu ambacho siwezi kabisa yaani kubeti kupo damuni sijui kama nitaacha hata siku moja.
 
Wazima wana JF

Naomba kusaidiwa namna nzuri ya kubeti mchezo wa mpira kwan hadi sasa hiv ligi zinaelekea ukongoni sijawahi kushinda hata siku moja. Huwa nafikiri labda huyu mhindi mchawi coz kila nikielekea kushinda utaona timu moja inaharibu. Tafadhali nisaidien kama kuna mtaalamu wa hii kitu nataka nimfanye mbaya mhindi kwenye euro 2016. Usinishauri eti niache ni kitu ambacho siwezi kabisa yaani kubeti kupo damuni sijui kama nitaacha hata siku moja.
Watakuja wacheza kamari wenzako, wengine hatujui makitu hayo
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Umesema ipo damuni na mimi hii kitu ninai discourage sana maana inadumaza akili za vijana wetu.

Sina cha kukushauri maana kwa namna ulivyoelezea kama ni ugonjwa naweza kusema ni Cancer at terminal stage...
 
Back
Top Bottom