Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Atakaenifata atapiga pesa.
uploadfromtaptalk1459513123731.png
 
Mimi nasubiria kesho
Juventus win
Bayern Munich win
Dortmond win
Chelsea win
Atletico Madrid win
Plzen win
Naweka laki kesho naombeni mawazo yenu na dua zenu. Natamani nimuongeze na Celtic win ila nafsi imesita
 
hawa meridian bora waache hii kazi siku ambayo watu wana mda kwa kupumzika ndio inazingua,Tatizo lina miezi takribani 2 sasa kila siku za weekend ni server error
 
hawa meridian bora waache hii kazi siku ambayo watu wana mda kwa kupumzika ndio inazingua,Tatizo lina miezi takribani 2 sasa kila siku za weekend ni server error
Mi niliwahama aisee yani wanakera sana karibu mkekabet mkuu unabet mda wowote unaoutaka wewe wala web yao haisumbui sana..
 
Mimi nasubiria kesho
Juventus win
Bayern Munich win
Dortmond win
Chelsea win
Atletico Madrid win
Plzen win
Naweka laki kesho naombeni mawazo yenu na dua zenu. Natamani nimuongeze na Celtic win ila nafsi imesita
Nakopi mkeka wako kama ulivyo lkn mm naweka magoli
 
Mimi nasubiria kesho
Juventus win
Bayern Munich win
Dortmond win
Chelsea win
Atletico Madrid win
Plzen win
Naweka laki kesho naombeni mawazo yenu na dua zenu. Natamani nimuongeze na Celtic win ila nafsi imesita
Mtoe juve
 
Mtoe juve
Hivi unajua form aliyonayo juve kwenye ligi yao? hivi unajua wamepishana na Napoli point ngapi? Hivi unajua dozi anazagawa juve kule kwao MKUU JUVE WIN TENA KWA IDADI NYINGI YA MAGOLI...
 
Hivi unajua form aliyonayo juve kwenye ligi yao? hivi unajua wamepishana na Napoli point ngapi? Hivi unajua dozi anazagawa juve kule kwao MKUU JUVE WIN TENA KWA IDADI NYINGI YA MAGOLI...
Timu zinapofanya vizur ndio furaha yetu ss wachezaj ila ushaur mzur Juve usimpe
 
Timu zinapofanya vizur ndio furaha yetu ss wachezaj ila ushaur mzur Juve usimpe
Sababu za kutokumpa juve ni zipi mkuu?


Mi nampa juve kwa sababu anauitaji ubingwa na wapo kwenye ushindani na Napoli
Juve pts 70 na goal 39
Napoli pts 67 na goal 38


kama juvu atafungwa na napoli akashinda kwa idadi ya magoli mawili inamaana Napoli ataongoza ligi

Na kingine kinachofanya nimpe juve yupo kwenye uwanja wao wanyumbani na ni unbeaten kwa game kadhaa anakutana na Empoli ambae katika game 5 za mwisho ajashinda hata moja kala vichapo na zingine kadroo


We sababu yako ya kutokumpa juve ni ipi mkuu maana tunapozibetia timu uwa tunagaalia hii timu inataka nini? ni bora umtoe chelsea ambae hana cha kupoteza wala cha kuchukua kuliko kumtoa juve anae wania ubingwa
 
Back
Top Bottom