lingard
Member
- Mar 16, 2016
- 72
- 43
Starbet niyawapi?Jamani hebu fanyeni research Starbet wana option na odds nzuri ....
Starbet niyawapi?Jamani hebu fanyeni research Starbet wana option na odds nzuri ....
Saizi uko ok mkuuView attachment 333313 Leo mambo yameenda vizuri, nasubiri pesa yangu
Juma mosi nataka kufata mkeka wako wakusomaHii ni kamari kama kamari nyingine tu sema utofauti wake na zile za mtaani hii imepewa jina la kiingereza na ukishinda kweli unapewa hela yako.
Tofauti na wale wa Kariakoo na ubungo ambao ni wezi hii haina figisufigisu lkn kula na kuliwa ni vile vile.
NB: HUWEZI KULA KILA SIKU ILA UNAWEZA KULIWA KILA SIKU
Karibu sana. Jumamosi nacheza EPL tuJuma mosi nataka kufata mkeka wako wakusoma
Naomba anaejua maana ya wire 1.5 . iyo nmeiona premier bet
But asizidishe mechi 2 au z3Under 1.5 HT yaweza kuwa mwake,ifanyie kazi kuanzia leo.
Iyo option inaptikana wpBut asizidishe mechi 2 au z3
we pimbi nini bet what u afford to lose hii ni kamari na huo ndio uwezo wa mwenzako tulia utengenezwe wewe kengele mdogosikia ww mjinga fikiria kabla hujapost..hcho unachokitetea hatahukielewi.. post basi mkeo kavaa chupi gn leo kama ni maamuzi tu ya mtu..

Leo unatokaje Juniour
Changanya na 1.5 over FT Mimi inanitoaga sanaUnder 1.5 HT yaweza kuwa mwake,ifanyie kazi kuanzia leo.
Matokeo yawe chini ya goli mojaMsaada....iyo under 1.5 inakuaje wadau
unabetia kampuni hipi??Msaada....iyo under 1.5 inakuaje wadau