Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

2ea3c1e5b838044690764393397834c8.jpg
mkekabet nao web yao imeshaanza kuzingua..
 
Nipe hayo maujanja basi ya kula kila siku


Embu tusaidiane kidogo kuhusu namna ya kubet kwa kutumia website za nje maana za hapa ndani sasa naona nimeshazila vya kunitosha halafu nikicheki wanaweka ligi pasua kichwa, mtu unaweka mkeka utadhani upo kwenye mtihani wa fom 6 au UE ya carryover bwana.

Nimeona websites chache za nje kama be365, bwin, n.k zote zinaaccept customer from Tanzania ila sasa kwa hapa kwetu nani mwenye uzoefu na haya mambo maana shida ni jinsi ya kudeposit na kuwithdraw pesa zako. Embu wakubet tutumie hii furusa kuingiza pesa za kigeni nchini.

Wenu mkekaji wa hali ya juu.
Winnerian. (Winner one)
 
ZERO BET ni in-play bet ambayo matokeo ya mda huo game inaendelea yanageuzwa kuwa 0-0 (unatabiri kama game ndo inaanza ikiwa 0-0)..

mfano: dk ni ya 55 ubao wa matokeo unaonesha (simba 2-3 yanga)
kwenye zero bet dk hiyo ya 55 matokeo yanageuzwa kuwa (simba 0-0 yanga)
kwahiyo unabet 1X2 ya kawaida kuanzia dakika hyo ya 55 mpaka 90.
wewe matokeo ya mda huo hayakuhusu

matokeo yakiwa 3-3 dak 90, maana yake matokeo yako ni simba kashinda 1-0 nk..

NYONGEZA: nashauri kama unataka kuuliza betting options siku nyingine humu ndani uende kwenye search bar juu kabisa ya hii page afu usearch hiyo option maana options nying zimeshawahi kujibiwa siku za nyuma utaziona kweny search results ya hii thread.
poa poa nimekusoma bro maana nilikuwa sielewi
 
Hivi meridian wameniandkia kwente ticket
payout -350000 maanake ni nin wadau maana kama ni kula pesa sijaiona kwenyr akaunt
 
tulishakataa tukasema hatujadili stake ya mtu na ikitokea kapost mkeka uliyo na stake sio mbaya (kama matokeo yako wazi haina haja ya kutuwekea hayo madude yako ya msg humu), hyo mikeka uliyopost jana haioneshi stake na umeikata kwa madhumuni gani? ili leo uje upost upumbavu wako hapa. kama bet won sizinaonekana hapo juu hii ni nn sasa? akaunti yako inakuhusu ww mwenyew unatuonesha ili iweje. kama kudanganya umeshadanganya sana na tunakuangalia tu lakini bado hujirekebish.. jipu mkubwa..
tulia wewe acha kutokwa povu ni hiari ya mtu so kwa mim naona hayo ni maamuzi yake hyana shida
 
Back
Top Bottom