Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ukweli wengi wananufaika na post zenu wakila hawasemi ila wakiliwa wanaanza manenoooooo daaa
Yaani watu wa humu ndivyo walivyo. Jana nimeweka mikeka miwili humu asubuhi. Hamna aliyekoment, usiku nimekuta mikeka yote nimeshinda hlf mtu ananiambia eti tutaaminije? Duh!

Tunakoelekea humu tutaanza name Calling au mhindi anaweza kutufungia akiona tumeungana sana na tunampiga ndio anaweka watu humu tunaanza kushambuliana kama wajenzi wa mnara wa babeli.
 
Wekeni mikeka wakuichukua watachukua tushirikiane la sivyo kila mmoja atakufa kivyake sio ishu mazee
 
Jamani niulize hivi malipo ya meridian kwenye akanti yanaingia baada ya mda gan ukisha win mkeka.sio kutoa
 
mr naomba hii ishu kuhusu wakusoma naomba tuachane nayo aisee naona inaendelea kitu kimeshapita kimepita kila mtu afanye yake anaetaka kufata mikeka yake afate usietaka potezea ila tu nacho muomba asiwe analazimisha watu kubet timu fulani kila mtu afanye mahamuzi yake ni hayo tu
 
Asante, kumbe nawalazimisha kana kwamba nashika line zenu. Siweki tena mkeka humu ila nitaendelea kuwa nchangiaji
 
SOUTHEND UNITED VS. SHEFFIELD UNITED (GG)

AC SPARTA PRAHA WIN

PANDURII TÂRGU JIU VS. STEAUA BUCUREŞTI (GG) / AWAY TEAM WIN
 
Mara ya kwanza mlisema WA KUSOMA ni wakala habeti anatupoteza, nikaleta ushahidi ninavyoliwa na ninavyokula.

Naomba niseme maneno haya

1. Wenyewe mlisema mtu asiweke stake au hela aliyokula hapa tupeane tips tu na matokea

2. Kabla ya kuweka hii niliyokula nilianza kwa kuweka mkeka wangu kuomba ushauri. Unashindwa nn kuangalia nyuma kama nilivhopost ndicho nilichokula?

3. Na kama mkeka nimeukata lkn hizo timu tano zote nimezipatia hivi kuna ulazima na ww ubeti kama nilivyofanya? Vipi kwa aliyenifuata akachambua timu baadhi tu hapo si amekula?

4. Kwa maana hiyo sioni haja ya huu uzi tunakosoana na kuchimbana mikwara mpaka mtu anakosa amani. Bora nicheze kivyangu wabongo hamuishiwi maneno
Mkuu leta tips??? Usibishane Sana na mbongo
 
Buriram win

kama una capital kubwa tupia hata laki hukosi bia leo jioni, game inaanza saa nane mchana, odd ilikuwa 1.31 naona imeshuka hadi 1.23
 
Wazee mi mgeni wa haya mambo ila jana nilijaribu kutupa karata ila kwa kusaidiwa ushauri na watu,niliweka mkeka wa timu zifungane sasa na kweli zimefungana,kinachonisumbua ni kujua kam timu ikifungwa 1-0 nayo inahesabika kua zimefungana,naomben msaada hii kitu kufungana ina maana gan?asanten.
 
Maana ya zifungane maana yeke kila timu ipate goli
 
Mkuu hii option ya under halftime ni safe sana nimejaribu kuifuatilia inatoa sana hasa kwa league ambazo hawafungani sana.
 
weekend nataka niiwekee mzigo kwa team 2 za league || France afu nachukua na za uholanzi mbili zitoe1+ first half afu namalizia option ya 2+ kwa team 2za ubelgiji.
 
weekend nataka niiwekee mzigo kwa team 2 za league || France afu nachukua na za uholanzi mbili zitoe1+ first half afu namalizia option ya 2+ kwa team 2za ubelgiji.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom