Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_2016-03-29-21-02-04.png
Leo mambo yameenda vizuri, nasubiri pesa yangu
 
Hongera umeshinda! Mkeka pqj3-wl3l-02s0 umekushindia TShs 164,980.50. Salio lako jipya la Mkekabet ni Tsh 767,928.40.
elfu sabini na sita au laki saba na ushee?

natania mkuu all in all hongera
 
Tunakatishana tamaa bure. Hiyo mikeka kabla sijailipia yote miwili niliileta humu kuomba ushauri
 
mech za jana zilikua wazi sana nilitoka usiku kwenda kubet baada ya kuona mikeka yako nikakuta wamefunga niliumia sana.
 
Wadau naomba msaada hapa inamaanisha nin nilibet multbet zikashinda zote 12/17 na ndo nilibet hivyo hivyo mkeka ukasoma 1810000 hiv leo asubui nakuta hiv
Screenshot_2016-03-30-10-30-53.png
 
Habari za asubuhi wadau, Leo natoka kiivi
 
Attachments

  • 1459323864151.jpg
    1459323864151.jpg
    43.9 KB · Views: 39
Kwani hizo ni mechi ngapi? Tutaamini vipi kama umekula au umeliwa wakati mkeka umekatwa hauonekani wote...
Mara ya kwanza mlisema WA KUSOMA ni wakala habeti anatupoteza, nikaleta ushahidi ninavyoliwa na ninavyokula.

Naomba niseme maneno haya

1. Wenyewe mlisema mtu asiweke stake au hela aliyokula hapa tupeane tips tu na matokea

2. Kabla ya kuweka hii niliyokula nilianza kwa kuweka mkeka wangu kuomba ushauri. Unashindwa nn kuangalia nyuma kama nilivhopost ndicho nilichokula?

3. Na kama mkeka nimeukata lkn hizo timu tano zote nimezipatia hivi kuna ulazima na ww ubeti kama nilivyofanya? Vipi kwa aliyenifuata akachambua timu baadhi tu hapo si amekula?

4. Kwa maana hiyo sioni haja ya huu uzi tunakosoana na kuchimbana mikwara mpaka mtu anakosa amani. Bora nicheze kivyangu wabongo hamuishiwi maneno
 
Wakati mwingine bora uweke akiba ya maneno leo wakusoma unaondoka juzi sijui mtoto wa nzi kasepa daaa huu uzi soon utabaki mtupu
 
Mara ya kwanza mlisema WA KUSOMA ni wakala habeti anatupoteza, nikaleta ushahidi ninavyoliwa na ninavyokula.

Naomba niseme maneno haya

1. Wenyewe mlisema mtu asiweke stake au hela aliyokula hapa tupeane tips tu na matokea

2. Kabla ya kuweka hii niliyokula nilianza kwa kuweka mkeka wangu kuomba ushauri. Unashindwa nn kuangalia nyuma kama nilivhopost ndicho nilichokula?

3. Na kama mkeka nimeukata lkn hizo timu tano zote nimezipatia hivi kuna ulazima na ww ubeti kama nilivyofanya? Vipi kwa aliyenifuata akachambua timu baadhi tu hapo si amekula?

4. Kwa maana hiyo sioni haja ya huu uzi tunakosoana na kuchimbana mikwara mpaka mtu anakosa amani. Bora nicheze kivyangu wabongo hamuishiwi maneno
Hahaha...mie sina imani na wewe tena, umesababisha watoto wa watu waliwe ada za shule wakikuiga wewe kuweka 500,000/= kumbe mwenzetu umeliwa 5,000/=, hufai kabisa.
 
Tulishasema sana humu Bet what you afford to lose. Copy timu usikopi stake

Ngoja nilete ya leo
 
Naona mmeanzisha ligi tena unajua sio vizuri acheni hizo chuki aisee wakusoma hata kama alikosea that has past mbona mnapenda kuwekeana hivo Sumve
 
Ukweli wengi wananufaika na post zenu wakila hawasemi ila wakiliwa wanaanza manenoooooo daaa
 
Back
Top Bottom