Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Under na over ni nzuri. Tukisema au kuweka mikeka
Screenshot_2016-03-31-21-28-45.png
tunaambiwa ni mawakala au mpaka ujue nimekula ngapi? la msingi usizidishe mechi tatu.
 
Vijana nlikuwa kimya kidogoo nikisoma comment bila kuchangia kitu bt wacha nitoe neno la hekima kidogoo....haipendezi wala haileti maana vijana tukiwa na akili zetu timamu kumtukana mwenzako kama mmetofautiana sehemu ni vizuri kueleweshana kuliko kumtukana mtu kumwita majina yasiyo pendeza binadamu mwenzako pili humu wachache ndo tunajuana so kukutana hum isiwe tatizo kumtukana kijana mwenzako na pili anaweza kuwa kakuzid umri bt kinacho pendeza waungwana na kuvumiliana pasipo kutoleana lugha chafu.
Nawaomba vijana tuelekezane kwa upendo.
Kama nmekukera nisamehe bure bt chukuwa ushauri wangu
 
leo weekend inaanza tiririkeni team za ushindi na zenye pesa, watu tukakae bar j2.
 
Hivi nyie wazee wa kubet hamshtuki tuu???
...endeleeni kusubiria mvua za masika jangwani, huenda kuna siku zikanyesha.
 
Jamani nimekuwa nikiliwa kila siku hii M betting .....Je leo nimetoka hivi....naombeni...mnitoleee mchawi hapa

Vallecano Wins
Leverkusen Wins
Monaco Wins
Benefica Wins
VVV Wins
Sparta Wins
 
PLACE YOUR OWN STAKE HERE;

As monaco win
benfica win
vv venlo win
sparta roterdam win/ draw

ALL THE BEST
 
Back
Top Bottom