Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah, leo nilikuwa na mood ya kumwaribia mzungu, sema kashtuka kaharibu mtandao.

Mngeshtukia kesho nawaonyesha salio tu.
 
Sababu za kutokumpa juve ni zipi mkuu?

Mi nampa juve kwa sababu anauitaji ubingwa na wapo kwenye ushindani na Napoli
Juve pts 70 na goal 39
Napoli pts 67 na goal 38

kama juvu atafungwa na napoli akashinda kwa idadi ya magoli mawili inamaana Napoli ataongoza ligi

Na kingine kinachofanya nimpe juve yupo kwenye uwanja wao wanyumbani na ni unbeaten kwa game kadhaa anakutana na Empoli ambae katika game 5 za mwisho ajashinda hata moja kala vichapo na zingine kadroo

We sababu yako ya kutokumpa juve ni ipi mkuu maana tunapozibetia timu uwa tunagaalia hii timu inataka nini? ni bora umtoe chelsea ambae hana cha kupoteza wala cha kuchukua kuliko kumtoa juve anae wania ubingwa
Mkuu umechambua vzur sana ila binafs sababu ya kutompa juve ni moja tu kwa mbet leo mchana juve win walimpa 1:28 baadae wakampa 1:3 yani wakaongeza na kuloose wamemwekea kama 7 sasa wasiwas wangu ni huu nilitegemea juve angepewa 1.12 au 1.15 cha ajabu kapewa point nyingi huoni kuna walakini hapo kama ndio upangaj wa matokeo Ila kama juve anakupa imani zaid wewe muweke ukishinda ndio furaha yangu
 
Sidhani kama juve watakuja rudia tena sakata la upangaji wa matokeo walijifunza mi nabetia mkekabet kapewa 1:23 na meridianbet ni 1:24 Zimedumu kwa wiki sasa, poa mkuu uamuzi ni wako
 
Juventus
Dortmond
Weka laki hao wengine achana nao
Mimi nasubiria kesho
Juventus win
Bayern Munich win
Dortmond win
Chelsea win
Atletico Madrid win
Plzen win
Naweka laki kesho naombeni mawazo yenu na dua zenu. Natamani nimuongeze na Celtic win ila nafsi imesita
jamaa yangu kama alifata ushauri wangu hapa amekula
 
Kesho ndugu zangu kuweni makini msibet kwapupa maana kesho nahisi kuna matokeo ya ajabu ajabu sana
 
Back
Top Bottom