Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,628
Jamani mbona mnachukiana tena, mi nashauri bora muwe mnaweka timu pekee, msiweke sh ngapi maana watu wanaweza waamini kumbe mmedilisha na kuweka kahela kadogo, wakajua mmepigwa kumbe wewe hasara umepata kidogo
Nimeona screen shots za Wa kusoma, ni real anabet, nashukuru pia ameomba radhi, bifu limeisha.
Unajua unapoweka mkeka halafu ukasema umeweka dau la kuanzia laki 2, 5 na kuendelea unawatengenezea memba confidence ya kwamba hiyo ni ya uhakika na unaweza kushangaa watu wanachukua ilivyo na kupanda dau.
All in all, akili za kuambiwa changanya na zako.