Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

N
Kusubiri mikeka ya wa kusoma ni sawa na kusubiri meli airport,

Au anaweza akaweka mkeka alafu asiulipie maana ukishabet ukatengeneza mkeka wako online ni jambo na kulipia tigopesa au mpesa ni jambo la pili
Akituma screenshort ya sms aliyofanya malipo na akipost mkeka wake hapa mm nitakuwa wa kwanza kumuomba msamaha na itabidi tumsafishe kwa shutuma zote tulizompa lakini sidhani kama atafanya hivyo ila ngoja tuone

Asante naanza kuweka sceen shot zote za bet nilizokula na kuliwa. Naomba mnielewe hlf tuendelee na maisha ya kumwinda mhindi.

Simu yang yenye uwezo huo haikuwa na moto, nimeichaji na usiku huu wa saa tisa nimeamka niwatoe watu wasiwasi.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-03-26-22-12-46.png
    Screenshot_2016-03-26-22-12-46.png
    26.7 KB · Views: 44
Naomba n

Naona nashindwa kuupload zipo kama kumi naombeni member mmayemwamini anajua kuapload vizuri anipe namba yake nimtumie whatsap inbox hlf yy aweke hapa. La msingi asiweke wazi namba yangu
 
Naendelea kuprove people wrong
Lkn naombeni pale nilipokosea nikasema laki tano badala ya hamsini au laki moja badala ya kumi tusameheane hizo ni typing error
Screenshot_2016-03-26-22-12-46.png
Screenshot_2016-03-26-22-12-46.png
 
Screenshot_2016-03-27-03-10-28.png
Kama kuna mkeka niliongelea humu sijauweka mnikumbushe maana zote ninazo
 
Naombeeeni nilale jamani naona mtandao ni shida la msingi tuelewe wote hapa tunapambana na mhindi sio kuanza kutupiana maneno sisi wenyewe.

Screenshot_2016-03-27-03-10-28.png
Mimi Wa kusoma niko Kigoma sasa huo urafiki na mhindi niutoe wapi? Kwanza kujua kubet mimi nimejifunzia humuhumu akina Mtoto wa nzi ndio walikuwa wananielekeza nini maana ya O/U
 
Naomba n


Naona nashindwa kuupload zipo kama kumi naombeni member mmayemwamini anajua kuapload vizuri anipe namba yake nimtumie whatsap inbox hlf yy aweke hapa. La msingi asiweke wazi namba yangu
Tuma hapa 0714600060.
 
Mi maswala ya stake i don't care as long as alikuwa anabet au sio
Tatizo Muongo aliona akuna root wanaeka stake kubwa akaja kutudanganya Apaa kumbe elfu tano tano kama sisi wakusoma unaongeza sifuri kwa faida ya Nani
 
Jamani mbona mnachukiana tena, mi nashauri bora muwe mnaweka timu pekee, msiweke sh ngapi maana watu wanaweza waamini kumbe mmedilisha na kuweka kahela kadogo, wakajua mmepigwa kumbe wewe hasara umepata kidogo
 
Naombeeeni nilale jamani naona mtandao ni shida la msingi tuelewe wote hapa tunapambana na mhindi sio kuanza kutupiana maneno sisi wenyewe.

View attachment 332772 Mimi Wa kusoma niko Kigoma sasa huo urafiki na mhindi niutoe wapi? Kwanza kujua kubet mimi nimejifunzia humuhumu akina Mtoto wa nzi ndio walikuwa wananielekeza nini maana ya O/U
hapo sawa biashara iendeleeeeee
 
Kuanzia kesho naweka screen short ya mikeka yangu. Kigoma na uwakala wa Mkeka au Mbrt wapi na wapi jamani?

Bahati nzuri Mkeka bet wana Bet history kesho naipiga picha michezo yangu yote ya nyuma na kuianika hapa.

Kweli leo nimeumia sana kwa Burton kudraw watu wamenielewa vibaya japokuwa niliangalia position yao kwenye ligi na head to head nikawa na imani kubwa sana naye.

Sijafurahishwa kuanza kutukanwa kwa vitu tunavyovifanya kwa hiari bila kulazimishwa. Na nimekiri kabisa leo mtaji umekoma nilikuwa nimeshatengeneza karibia 2m leo hii nimeanza kubet kwa kukopa M-pawa kwa sababu ya hundu lenu.
hahaaaa, ndio tulivyo wanadamu, ila naona unaongeza sifuri moja kwa kila dau ynalotuambia, mfano ukiweka 50,000 unatuambia umeweka 500,000, nilishangaa wewe utakua ni mtoto wa fisadi gani? 😀😀😀
 
Back
Top Bottom