Kikawaida ukibet ukiweka mkeka wako hapa unamaanisha ataoupenda aufate,
Mfano ukiweka 1000 ikitoka laki inamaana mtu ataangalia aufate kwa sh ngap na itatoka sh ngap, tatizo la huyu jamaa wa kusoma anatoa odds na hela aliyoweka na atakayopata akishawishi watu wacheze kama yeye akisema sasa kastuka anacheza single bet mwenye hela amfate kesho utapata hela na vitu kama hivyo, chaajabu hakuna ushaidi wowote kuonyesha kweli kaweka laki 5 tuwe makini na huyu mtu kipindi cha nyuma alikuwa anabet kweli kwa 2000 akiliwa alikuwa analalamika sn nashangaa siku hizi anasema anaweka laki5 akiliwa wala halalamiki utamsikia jana muhindi kanipiga leo naweka laki 5 narudisha mtaji wangu.
TUWE MAKINI NA HAWA WATU WA MKEKABET