Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Rwanda
Burundi
Senegal
Burkinafaso
Cameroon
Burton
Germany
All win
 
ImageUploadedByJamiiForums1458978150.015075.jpg

Hapa vp wadau, nifumbe macho ?
 
Huesca DRAW
Cagliari WIN
Burton WIN
Dover WIN
Grimsby WIN

Uhakika nilionao ni hizi kwa 98%
HUESCA DRAW & CAGLIARI WIN

Sasa nani atoke kati ya Burton,Dover & Grimsby? ili zibaki 2 ziungane na huesca na cagliari?
 
Burton usimtoe, kuna pesa hapo. Mimi leo Nimempa Burton ashinde ushindi wa kawaida kwa sake ya laki mbili na nusu faida yangu laki moja.

Usimtoe plz kama ni kulia leo tulie wote
 
Burton usimtoe
 
Burton usimtoe, kuna pesa hapo. Mimi leo Nimempa Burton ashinde ushindi wa kawaida kwa sake ya laki mbili na nusu faida yangu laki moja.

Usimtoe plz kama ni kulia leo tulie wote
Mbona unalazimisha hivyo kuwa asimptoe bob kuna nini hapo
 
Wote hao wapo nyumbani kwanini usiweke option ya under kwa hao wawili ushauri tu
Huesca DRAW
Cagliari WIN
Burton WIN
Dover WIN
Grimsby WIN

Uhakika nilionao ni hizi kwa 98%
HUESCA DRAW & CAGLIARI WIN

Sasa nani atoke kati ya Burton,Dover & Grimsby? ili zibaki 2 ziungane na huesca na cagliari?
 
Khe khe wametumwa na wenye betting
Jamani tunatoa maoni tu..suala kumweka Burton ama la ni uamuzi wa MTU....sio Lazima umsikilize kila MTU unaweza kujisikiliza mwenyewe..betting ni imani
Me namuogopa uyo wa kusoma cz nimeanza kumfatilia siku nyingi enzi anaweza dau zake za ukweli humu sh 2000 na buku
1000 saizi muongo wa kutupwa uyo jamaa msome hapa chini kipindi anasema ukweli lkn now muongo aweki pesa zile Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (kubet) - Karibuni tubashiri Mechi za Leo!
 
Nadhani itafika hatua humu tutakimbiana kila mtu awe anacheza kivyake sababu hii ya kuitana mawakala. Kwamba mm niko england najua burton hashindi?

Watu na midomo yenu ndio itawaponza, mbona mimi kila siku naliwa humu sasa hapo uwakala uko wapi?

Yaani mtu unaweka mkeka unakula na mwingine unaliwa tatizo tunatofautiana stake lkn mchezo ni ule ule. Sasa ngoja niweke msg niliyolipia tiketi ya Burton na baada ya mechi mtaamua nyie nyie nimekula ay nimeliwa
 
Humu ni kupeana tips tu...stake kila mmoja ana mfuko wake...usife moyo
 
Option imeandikwa play under/over, ukichagua under maana yake magoli yasizidi mawili yani inatakiwa iwe 0-0, 1-0, 1-1 au 2-0

Over ni kuanzia magoli matatu na kuendelea mfano 2-1, 2-2, 3-0, na kuendelea
Kichuna naomba msaada kwenye Mkekabet.
 
Back
Top Bottom