Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hivi superbets ni wajinga kiasi gani maaan niliweka elfu kumi yangu toka usiku lakini mpaka leo ijumaa kuu inaisha sjaona chochote kwenye account yangu. Halafu customer care yao ni mbaya sana. ndo maana hawa m-bet watabaki kuwa my favorite kwa huu muda
Ukiwatumia pesa inabidi uwasiliane nao mda huo ata mimi ilinipa shida ila baada yakuwasiliana nao wakanitumia pin pesa zikasomeka
 
hivi superbets ni wajinga kiasi gani maaan niliweka elfu kumi yangu toka usiku lakini mpaka leo ijumaa kuu inaisha sjaona chochote kwenye account yangu. Halafu customer care yao ni mbaya sana. ndo maana hawa m-bet watabaki kuwa my favorite kwa huu muda
Jaribu kutumia namba hizi 0742402651 niliwasiliana na makao makuu yao wakanipa hizo namba
 
1153851355546 Standard account
------------------------------------------
[2/3]
0958 25-03 22:30:00 Slovakia-Latvia
Halftimes HW1 1.83
2895 25-03 23:45:00 Portugal-Bulgaria
Halftimes HW1 1.86
0935 25-03 22:15:00 Luxembourg-Bosnia&Herz
Halftimes AW1 1.84
------------------------------------------
Total: 200000.00
------------------------------------------
Total odd: 3.40
Min win: 224480.00
Min tax: 4406.40
Min payout: 220073.60
Max win: 679560.00
Max tax: 86320.80
Max payout: 593239.20
Combination count: 3
------------------------------------------
25-03 18:00:42
 
1153851355546 Standard account
------------------------------------------
[3/3]
2895 25-03 23:45:00 Portugal-Bulgaria
Halftimes AW0 1.08
0935 25-03 22:15:00 Luxembourg-Bosnia&Herz
Halftimes HW0 1.14
0958 25-03 22:30:00 Slovakia-Latvia
Halftimes AW0 1.19
------------------------------------------
Total: 200000.00
------------------------------------------
Total odd: 1.47
Max payout: 293025.60
Combination count: 1
------------------------------------------
25-03 18:04:19
 
Basketball Kwa anayejua,ila kwa option ya under < inatoa sana wakuu bila kusahau Ice Hockey kwa 4+ au 0-3,5+
 
Kiasi utakachopata kinatokana na odds utakazopata unazidisha na hela unayoweka. Mkuu unahitaj tution mana unaonekana ni fresher ktk game hii.
Kuna jamaa aliweka screen shot hapa jana mkeka una kama game 9 hivi. Hamna hata timu iliyozidi odds 1.05. Sasa anategemea atapata kiasi gani.?
 
Wakuu watumiaji Wa mkeka bet naomba mnielekeze jinsi ya kujiunga maana nilikuwa meridiani nikitumia simu inazingua
 
Wakuu watumiaji Wa mkeka bet naomba mnielekeze jinsi ya kujiunga maana nilikuwa meridiani nikitumia simu inazingua kufunguka
 
Back
Top Bottom