Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
Wenye hela zao nyingine hizi hapa
Brazil Win
Bristol Rovers Win
Brazil Win
Bristol Rovers Win
Hata Mie nimestukia wengi wazushi hawataki kusema ukweli wakishindwa Na wqkiweka bet slip wanaweka sio yakuonyesha pesa kalipwa ya ushindi! Kuna mawili wana lose au wanawatangazia wenye soko.tupiamo ka picha/screenshot kuwaonesha wadau kwamba inawezekana
mkuu naona dalili nzuri, mi nimeuchelewa naona akisawazisha huyo waaway tu kitu kinajipaNatafuta hela ya lunch tu hapa maana Argentina jana kanipoza machungu.
Melbourne Victory Vs Western Sydney mechi inaanza saa tano na dk arobaini.
Nimeweka kila timu ipate goli.
Odds ni 1.63 Stake 200,000. Returnbaada ya kodi ni laki tatu faida ni laki moja
Naendelea na majukumu huku nikisubiri msg ya Mkekabet.
Asili yake ni kenya kumbe ila ndo ni raia wa AustraliaHahahaaaa! Bro kama angekuwa mbongo na anchezea ligi kuu ya Australia tungekuwa tushampa unahodha wa Taifa stars na kiwanja Mbezi beach hata kabla ya Sammata
ukimfuata huyo imekula kwako wakala wao huyoHivi huyo Wakusoma alishawai konesha msg hela ikiwa imeingia mazee maana naona kama mapicha mapicha
Mkuu matumaini ya kila timu ipate goal yanazid kufifia Melbourne anamdindia andaa ambulance wakuwaishe muhimbili kabla presha haijapanda.Natafuta hela ya lunch tu hapa maana Argentina jana kanipoza machungu.
Melbourne Victory Vs Western Sydney mechi inaanza saa tano na dk arobaini.
Nimeweka kila timu ipate goli.
Odds ni 1.63 Stake 200,000. Returnbaada ya kodi ni laki tatu faida ni laki moja
Naendelea na majukumu huku nikisubiri msg ya Mkekabet.
acha kulalamika humu wapigie...Mkeka mamaeee, mpesa washakata hela lakini mkeka hela haijafika toka asubuhi