Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa wale wa basketball, hapa vipi? ...

upload_2016-3-24_22-53-28.png
 
Tupe maelezo kidogo basi maana wengine hatujawai cheza maybe twaeza toka kwa basketball


DUMEGUY, kwa mfano nilioutoa hapo juu tukichukulia hiyo mechi ya kwanza Indiana vs New Orleans ina maana mpaka gemu inaisha (game huwa ina Quarters au vipindi vi4) jumla ya magoli/vikapu/points ziwe zaidi ya 207.5
zikiwa chini ya hapo bet is lost.
 
Kwa wale wazee wa kujitoa mhanga (mzingo mwingi) huku wangekuwa wanakula kirahisi zaidi kwa single au double bets only. Ila mechi za NBA huwa zinacheza usiku mwingi (time difference na US).
 
kuna mkekaji humu alinipropopozia SPORTPESA ya kenya lakini nimekwama namna ya kujisajili maana wana dau nono kweli wale jamaa kama mtu ukitandika mkeka wa maana
 
Naona raia zinaganganyana tu hapa hakuna option nyepesi kwenye kubet cha msingi tafuta option wewe utakayo ona unaweza kuimaster usiwe fata upepo kama Bendera ikitokea option ile upo ukiona hii humo usipo jipanga utakuwa wakuliwa kila siku hayo ni maoni yangu tu

Aisee ngoja nimelizie cha ukucha
 
  • Thanks
Reactions: pri
Duh Comoro imeshinda Na Madagascar draw kweli mpira unadunda! ILA nilisema Conoros siku hizi inawachezaji ufaransa daraja la kwanza.
 
  • Thanks
Reactions: pri
TAARIFA.

Leo sisemi nimeweka dau la sh ngapi, lakini Argentina naomba mjue nimerudisha hasara yote ya jana na juzi.

Leo sijacheza ngumu kumeza nimeweka kawaida tu pointi 2.07 Argentina ashinde.
 
TAARIFA.

Leo sisemi nimeweka dau la sh ngapi, lakini Argentina naomba mjue nimerudisha hasara yote ya jana na juzi.

Leo sijacheza ngumu kumeza nimeweka kawaida tu pointi 2.07 Argentina ashinde.
tupiamo ka picha/screenshot kuwaonesha wadau kwamba inawezekana
 
Back
Top Bottom