Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Nataka niweke 50000 kwa comoros mnasemaje wadau
60' Comoros 1 - 0 Botswana
Mkuu hela inanukia hapa kama uliweka.
Nataka niweke 50000 kwa comoros mnasemaje wadau
Hofu...Sikuweka ila kuna jamaa yangu aliweka 100000
Ndio kaka sema sio mbayaHofu...
Yap kaka alikua na point nzuri yakukuza mtajiDah hivi Comorow sialikua na point 15 huyu au?
Cdhani kama kuna aliye fuata aseee duhNimeogopa vibaya doh.. Vipi nani alifuata hii single bet
Ikiwa na points nyingiSema nimejifunza kitu kwenye qualification timu ikiwa nyumbani siiachi..
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ndio betting hiyo...kama hofu IPO unaacha...
Comoro Win
Under unachezajeleo nimetoka hivi, naona hiyo ya kwanza under imetoka mechi imeisha 0-0 mkeka bado unasoma ndio uzuri wa option hii![]()
Kuchezaje kvp? Ebu fafanua swali lakoUnder unachezaje
Yani ipo kwenye option gani m-bet na inatakiwa upate matokeo gain kwako iwe sahihiKuchezaje kvp? Ebu fafanua swali lako