Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

NDIO AMESEMAAAAA BAHATI YAKE KUMBE ALIMPA TU POLAND ASHINDE..... SI UNAJUA ILA WE UNAJUA UMEWEKA OPTIONS FLANI KUMBE UMECLICK TOFAUTI..... NAFIKIRI NDIO KIMEMKUTA HUYU .... IKAWA BAHATI KWAKE

Ha ha ha, akili za kuambiwa changanya na zako!

Unakumbuka enzi za kugelezeana, unamdanganya mwenzio kwa kuweka C, akishakopi unamalizia kuweka jibu sahihi la D.
 
Friend games sio za kuziamini ndugu zangu lolote laweza tokea wàzee Wa kuweka mizigo sisi Wa mikeka tushazoea kuliwa tunasubiri bahati tumpasue muhindi milioni tatu kwa jero nayo kwa mwaka Mara moja
 
Naombeni samahani halikuwa lengo langu kuwamislead lakini mwanzoni niliweka hiyo tiketi ya option ngumu sikuilipia. Baadae nilivyopata ushauri humu nikampa Poland win na sikurudi humu tena.

Asbh naamka nakuta mzigo. Kila bet mm huwa naiweka humu na single bet only. Mhindi alinila sana enzi za kuweka elfu kumi eti nile milioni tatu. Sasa hivi nakuwa na uhakika hata kama sina hela ya mboga naingia mkeka bet naangalia the soonest mechi naweka bet natia buku 20 napata faida buku saba au ten natuma hela nyumbani
 
Mechi za leo hizi Odds ni ndogo sana hapa natafuta ya kuweka magoli tu ya 0ver/under au Both tem to score
 
Kwa wale wenye shida ya hela ya Lunch. Mechi hii hapa ya saa sita.

Autralia Vs Tajistan
weka goli under 3.5
mimi nimeweka stake 200,000 kodi 54,000 Ushindi ni 446,000
Faida itakuwa ni 246,000.

Baadae nitaweka tiketi yangu hapa.
 
Tiketi yangu ya mechi ya Australia na Tajistan ya saa sita nimebet magoli yasifike manne yaani under 3.5 kwa stake ya laki mbili nipate faida laki mbili na zaidi.

Iq29-rj65-9jdv.

Nitaleta mrejesho saa nane kama hela ya mboga itapatikana. Lazima nimle tu
 
Dk 25 magol 2-0
 
  • Thanks
Reactions: pri
Tiketi yangu ya mechi ya Australia na Tajistan ya saa sita nimebet magoli yasifike manne yaani under 3.5 kwa stake ya laki mbili nipate faida laki mbili na zaidi.

Iq29-rj65-9jdv.

Nitaleta mrejesho saa nane kama hela ya mboga itapatikana. Lazima nimle tu

Duh! Australia bwana, sasa unampiga mtu goli sita zote za nini lkn? Na hii option mtu angeitumia hakika angempiga vizuri mhindi maana ilikuwa na point 4
 
Back
Top Bottom