wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,362
Pesa ilikuwepo hapa point 2.50Tanzania na Chad 28+ inatoa
Pesa ilikuwepo hapa point 2.50Tanzania na Chad 28+ inatoa
Hehe..we hizo hela zako mkuu nadhani hazina kazi, huwezi bet pesa nyingi kiasi iko kwa option ngumu ivyo, it's okay anyways...ndo maana wakasema bet what you can afford to lose, all the best.Hii ni kamari hutakiwi kukata tamaa. Nimerejea tena japokuwa niliaga nitarudi weekend baada ya Samatta kunipotezea laki tano yangu.
POLAND vs SERBIA
Nimempa poland ashinde lakini pia Serbia apate goli. Odds ni 4.2 X 500,000 = 2,100,000 nikitoa kodi na mtaji faida nabaki na zaidi 1.5m. Maombi yenu plz
hapa naungana na wewe kukuombea japo Mungu hasapoti hii mamboPoland Vs Serbia
Mkeka tz4c-h4tl-4mv
Bet Results/All team score
1Y
odds. 4.2
Stake 500,000
Possible winning after tax 1983333.73
DuuuHehe..we hizo hela zako mkuu nadhani hazina kazi, huwezi bet pesa nyingi kiasi iko kwa option ngumu ivyo, it's okay anyways...ndo maana wakasema bet what you can afford to lose, all the best.
Wakusoma usitafute faida kubwa mbka unavuka mara mbili y pesa yakoPoland Vs Serbia
Mkeka tz4c-h4tl-4mv
Bet Results/All team score
1Y
odds. 4.2
Stake 500,000
Possible winning after tax 1983333.73
Anaongoza mkuu endelea tu kuzibinya kisawasawa.Poland win usiniangushe Poland nimeweka mtaji wote Wa kesho
Dont take maximum risk,huo mzigo ungeugawanya hata kwa option mbili ili kupunguza makali,bt anyway,u gud lucky.Hii ni kamari hutakiwi kukata tamaa. Nimerejea tena japokuwa niliaga nitarudi weekend baada ya Samatta kunipotezea laki tano yangu.
POLAND vs SERBIA
Nimempa poland ashinde lakini pia Serbia apate goli. Odds ni 4.2 X 500,000 = 2,100,000 nikitoa kodi na mtaji faida nabaki na zaidi 1.5m. Maombi yenu plz
Poland Vs Serbia
Mkeka tz4c-h4tl-4mv
Bet Results/All team score
1Y
odds. 4.2
Stake 500,000
Possible winning after tax 1983333.73
Hujui kubet but he doesHehe..we hizo hela zako mkuu nadhani hazina kazi, huwezi bet pesa nyingi kiasi iko kwa option ngumu ivyo, it's okay anyways...ndo maana wakasema bet what you can afford to lose, all the best.
Toa maelekezo kidogo mkuuSingle game kwa mtaji wako unaweza kufanya vizuri kwenye BasketBall
Kama alicheza alivyobandika humu ameliwa.ww wa kusoma xaxa imefikia pahala unielekeze kama nikupe hongera au nikupe pole maana hiz tiket zinakuja dabo dabo..
Sa mbona umeweka mkeka wa uongo humu, huoni kama umewamislead watu walofata mkeka wako na kusababisha waliwe?Hongera umeshinda! Mkeka tz4c-h4tl-4mv umekushindia TShs 889,240.16 Salio lako jipya la Mkekabet ni Tsh 2,326,305.98.
Kumbe bahati yangu nilimpa Poland ashinde tu
NDIO AMESEMAAAAA BAHATI YAKE KUMBE ALIMPA TU POLAND ASHINDE..... SI UNAJUA ILA WE UNAJUA UMEWEKA OPTIONS FLANI KUMBE UMECLICK TOFAUTI..... NAFIKIRI NDIO KIMEMKUTA HUYU .... IKAWA BAHATI KWAKEww wa kusoma xaxa imefikia pahala unielekeze kama nikupe hongera au nikupe pole maana hiz tiket zinakuja dabo dabo..