Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
Wale wazee single bet weka Congo Win kapewa point tatu 3.28
Mkuu Congo atatoka kweli kwa wana chipolo polo kwao?Wale wazee single bet weka Congo Win kapewa point tatu 3.28
Kama upo karibu na shop yao yoyote mbona nishwari tu!shida yao kubwa ni jinsi ya kudeposit pesa.....
Na kuwithdraw nako ni mpaka kwenye shop zao???Kama upo karibu na shop yao yoyote mbona nishwari tu!
Chad vs Tanzania. Nimempa Chad ashinde.
Stake 500,000/= return 1,036,000/= faida ni 536000.
Tuombeane jamani tuiombee Taifa Stars ifungwe
Chad vs Tanzania. Nimempa Chad ashinde.
Tanzania draw
Mnampa kazi sana Mungu kuchagua amsaidie nani amwache nani!Tanzania Win
Sema kwa hapo wakusoma wiki iliyopita aliliwa Na muhindi Mimi namuombea Mungu arudishe ela Yake aliyopigwa Na muhindi maana hii Vita ni sisi wote tunapambana Na muhindi arudishe pesa zetuRaimundo said:Mnampa kazi sana Mungu kuchagua amsaidie nani amwache nani!
Waweke m pesa na tigo pesa ..ndio itakuwa mwisho wa m bet...maana wana option zaidi ya m bet onlineNimegundua yakua premier bet online wana option nyingi kuliko ata meridian
Hapo m bet watafilisika m bet wanaringia Tigo pesa vijana wengi watatumia TigoWaweke m pesa na tigo pesa ..ndio itakuwa mwisho wa m bet...maana wana option zaidi ya m bet online
Mkuu,Olympiakos kashachukua ubingwa nadhan ukiangalia table so kuwa nae makini kdg.Olimpi inaongoza league halafu inacheza na team ya mwisho. Halafu head to head hiyo team haijawahi kumfunga
Cyo 80 ni 95%Wazee Wa single bet
Libya win
Weka dau lolote, 80% anashinda
Tanzania?Tanzania
Zambia
Libya
Crotia
Poland
All win
Chad/Tanzania ngoma draw.Msaada wakuu, nitie mzigo au kuna walakini
Mzee tutakupeleka muhimbili hiyo ngoma draw.Chad vs Tanzania. Nimempa Chad ashinde.
Stake 500,000/= return 1,036,000/= faida ni 536000.
Tuombeane jamani tuiombee Taifa Stars ifungwe