Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Tanzania vs chd GG&3+Mzee wa single bet nimerejea baada ya maumivu ya Barcelona na laki tano. Nataka mechi moja tu nitakayotabiri timu zote zipate goli bila kujali nani atashinda.
Stake 500,000/=
Tanzania vs chd GG&3+Mzee wa single bet nimerejea baada ya maumivu ya Barcelona na laki tano. Nataka mechi moja tu nitakayotabiri timu zote zipate goli bila kujali nani atashinda.
Stake 500,000/=
kwa experience ya hizi web 2, kati ya forebet.com na soccervista.com,Kama kuna mtu anaijua site nzuri nyingine kwa ajili ya soccer betting tips aweza kutupatia.
walink malipo kwa m pesa tuhamie huko. mambo ya vicha sijui takataka gani tupa kuleNimegundua yakua premier bet online wana option nyingi kuliko ata meridian
Kama unatumia simu inaeza ikakataa jaribu kutumia pc labda itakubaliIshu na voucher ni vijiusumbufu tyuu,kwa walio mbali na agents wao....¡!¡!
Ila nimejaribu ku join inaleta makengeza flani ivi kwa baadhi ya filling space
Nimepitia Search engine ya Google chrome ndio imekubali,ila inaniambia you must have atleast 18 years,..."wanapenda kudanganywa" ngoja niweke 1900Kama unatumia simu inaeza ikakataa jaribu kutumia pc labda itakubali
Mkuu taifa stars hatoki leoJamani hii mechi ya Chad Vs Taifa stars tunachomoka kweli hapa si lazima tufungwe? Nipo nawaza hapa nitie mzigo wa laki tano nibebe laki tano faida
Tanzania loseTanzania vs chd GG&3+
Nimegundua yakua premier bet online wana option nyingi kuliko ata meridian
Mm mmmmh!mechi ya TzMsaada wakuu, nitie mzigo au kuna walakini