Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Siku timu za kugombania nafasi ya kombe la Africa Madagascar vs CRofcongo weka CRofCongo Na Comoro vs Botswana weka Botswana Easy timu mbili kazi kwenu ILA Comoro siku hizi inawachezaji kutoka ufaransa ligi ya chini.
 
kwa wale wa mkekabet na Meridian(ni hawa kwa sababu ndio nawatumia na kuona) wapo wengine kama williamhill,bet365 n.k. wanaweka mechi nyingi za bara la Amerika nchi za Brazil, USA,Argentina, Mexico,Venezuela, Paraguay, Uruguay n.k jaribu kujiridhisha na huyu jamaa www.forebet.com wako vizuri saaana kwa mechi za huko kwa asilimia kubwa...

pia 3+,4+,5+ & 6+ zinatokeaaa sanaa,...
 
mie timu zangu ambazo huwa nimezipa guarant
kwa wale wa mkekabet na Meridian(ni hawa kwa sababu ndio nawatumia na kuona) wapo wengine kama williamhill,bet365 n.k. wanaweka mechi nyingi za bara la Amerika nchi za Brazil, USA,Argentina, Mexico,Venezuela, Paraguay, Uruguay n.k jaribu kujiridhisha na huyu jamaa www.forebet.com wako vizuri saaana kwa mechi za huko kwa asilimia kubwa...

pia 3+,4+,5+ & 6+ zinatokeaaa sanaa,...
kwa south america goli huwa n nyingi sana
 
Tarehe 03/04 nataka nijilipue niweke mzigo mkubwa mpaka sasa nimezichagua hizi team
Olympiakos Piraeus win
Dortmond win
Bayern win
Aberdeen win
Ajax win
Napoli win
Porto win

Hembu nisaidieni kuzichambua hizo team wadau
 
Olimpi inaongoza league halafu inacheza na team ya mwisho. Halafu head to head hiyo team haijawahi kumfunga
 
Aisee, ukiachilia mbali forebet. com, kuna soccervista.com, scorepredictor.net, olbg.com,oddstake.com na vitibet.com. Hapo hao oddstake.com nimewaona wako accurate zaidi, Ila huwa wanajiepusha sana na risky EPL matches.
 
Kama kuna mtu anaijua site nzuri nyingine kwa ajili ya soccer betting tips aweza kutupatia.
 
Tarehe 03/04 nataka nijilipue niweke mzigo mkubwa mpaka sasa nimezichagua hizi team
Olympiakos Piraeus win
Dortmond win
Bayern win
Aberdeen win
Ajax win
Napoli win
Porto win

Hembu nisaidieni kuzichambua hizo team wadau
Napoli Kuna magoli ya Higuain ILA Italy beki zikiamua kubana Na wapo away kazi inakuwepo. Ajax,Porto,Bayern Na Dortmund ongeza Chelsea.
 
Mzee wa single bet nimerejea baada ya maumivu ya Barcelona na laki tano. Nataka mechi moja tu nitakayotabiri timu zote zipate goli bila kujali nani atashinda.

Stake 500,000/=
 
Back
Top Bottom