hero de mmar
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 470
- 108
Watumia app gani(betting tips)???Kwanzia alhamisi mpaka kufikia sasa nimeshatengeneza faida ya laki 9 naushee
HERE NO MORE LOSS
Watumia app gani(betting tips)???Kwanzia alhamisi mpaka kufikia sasa nimeshatengeneza faida ya laki 9 naushee
HERE NO MORE LOSS
Mkekabet sometimes meridianWatumia app gani(betting tips)???
anamaanisha unakopata uchambuzi wa mechiMkekabet sometimes meridian
Huyo predictor yuppo play store??Nilichungulia kwa predictor anajiita WINDRAWWIN namfataga sana ananipaga bingo kila siku nakula.
Google Mr predictor watatokea predictor z na windrawwinHuyo predictor yuppo play store??
Pole sana, mi mwenyewe nimeumizwa mbayaUsiku mwema wadau, yaliyotokea yametokea hakuna wa kubisha ndio maana nikasema hii ni kamari. Barca amenifanya nipumzike mpaka Jumatano
Alikiwa manager WA Villarreal yule alikuwa anaona wanaonewa alitolewa uwanjani kwenda V.I.P.Huyu jamaa yupo VIP mechi ya Barcelona na vilareal atakuwa kabet.... Maana hakai anazunguka tu..... Hakai afu Yuko VIP full presha
Mie siku hizi nitacheza za over 1.5 over 2.5 basi mambo ya nani atashinda imekuwa ngumu! Titasubiri week mbili bora game za ujerumani Za UK next week Chelsea Tu kumfunga Aston villa over 2.5 Na Bayern Munich pia over 2.5 unafanya double.
Hii pia isipokubali sichezi tena.
Duh..pole sana aisee, napigwa sana pia sikuizi nachukua mikeka humu kimyakimya.huu niliutoa sample.... nkauchujaaa weeee nkamtoa psg , nkamtoa crotone , nkamtoa barcelona , wote wametoa afu nkamuacha bwege fiorentina ...nkamtoa napoli... nkamuweka sparta na benfica.... afu benfica nae kanipiga za uso.... ndio nshakata mtaji kalibaki hako ka 25,700.... 700 imeliwa sampling 25 imeliwa kiukweli mamaae.... ningeendelea kupumzika tu
weekend ijayo...timu hizi nne 2+, juve, arsenal, chelsea , atl madrid...odd 2.5 , mamaeee acha anipe ukimwi.... dau ntaloweka Mungu nsaidie...kufa yeye kufa mimi....
kudadek pole asee hta mm kanikosesha man city goli 2 kupiga laki ..weekend ijayo...timu hizi nne 2+, juve, arsenal, chelsea , atl madrid...odd 2.5 , mamaeee acha anipe ukimwi.... dau ntaloweka Mungu nsaidie...kufa yeye kufa mimi....
nachambua mwenyewe kwaumakini nikisaidiwa na app ya goal.comanamaanisha unakopata uchambuzi wa mechi
Tusaidie mechi za leo mkuu twalajenachambua mwenyewe kwaumakini nikisaidiwa na app ya goal.com