Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
LEO
Nice win (1.74)
Juventus win (1.77)
ATHLETIC CLUB win (2.18)
Nice win (1.74)
Juventus win (1.77)
ATHLETIC CLUB win (2.18)
Mkuu hii kampuni gani ya kupeti hapa nchiniWewe sasa ni mkali kijana nimekufatilia sana ww noma
Unajua kubet mkuuNimempa Barca kwa point 1.39X500,000 = 695,000 hapo faida yangu ni 195,000 siyo mbaya.
NB: Bet what you afford to loose hii ni kamari. Tutakiane kila la heri.
Barca Leo anadindiwa drawNimempa Barca kwa point 1.39X500,000 = 695,000 hapo faida yangu ni 195,000 siyo mbaya.
NB: Bet what you afford to loose hii ni kamari. Tutakiane kila la heri.
psg vipiReal Madrid vs Sevilla ---Madrid win
Juventus vs Torino--- Juve win
Augsburg vsB.Dortmund-- Dortmund Win
Villarreal vs Barcelona --- Barca win
Toeni maoni wakuu kwa mkeka huo leo
Psg kashachukua ubingwa kwa hyo si timu ya kuamini kwny ligi kwa sasa nguvu zoye anaelekeza kwny uefa mkuu.P
psg vipi
usiweke mapenzi kwenye betting,hii ni vita utapoteza.fuata hela ilipo = man cityWAZEE WA SINGLE BET
MAN U WIN (4.11)
Usianze kutuwekea gundu mkuu, wengine tumeweka nyumba atiBarca Leo anadindiwa draw
PSG sahivi anacheza kwa dharau sana maana ameshajiahikikshia ubingwa hakamii hata akpoteza sio hasara ndio simwaniP
psg vipi
Goal 2.5 over (2-2)Usianze kutuwekea gundu mkuu, wengine tumeweka nyumba ati