July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
Mkuu kesho naomba mkeka wa maanaShukran kaka ukitaka kula kila siku nione nikupe maujanja
Mkuu kesho naomba mkeka wa maanaShukran kaka ukitaka kula kila siku nione nikupe maujanja
yeah.. kama dawa
Mkuu,hebu nimegee maujanja ya kumla muhindi maana naona siku hizi ananizidi akili vibaya snShukran kaka ukitaka kula kila siku nione nikupe maujanja
Daah...ngoja tuendelee kumlia mingo.moja tu....
1day yes
Nawasubiria feyenoord nikamilishe hesabuW
Kijana sasa naona umekula mkeka ila bei itakuwa ndogo kwa huu mkeka wako
Naona umetukimbia Leo mfuko umejaa hehe! Ungeweka Na sporting Lisbon ungemaliza kabisa Hongera.Huyu Feye huyu! Leo mh! Sijui kama hanipi tumbo la kuhara
Hoooooraaa BET WON::::::no more lose45 mins: sporting cp - arouca over 0.5 goals 0dds 1. 29
45 mins:vitoria setubal - fc porto over 0.5 goals odds 1. 29
Tupia kama laki 5
99. 9%surebet
Mambo Kama hata siku nyengine lingard anistue over 1.5 Si Ni goli 2 au ? Na 2.5 over Ni magoli ma3?Hoooooraaa BET WON::::::no more lose
Over 0.5 goals maana yake lipatikane goli moja na zaidiMambo Kama hata siku nyengine lingard anistue over 1.5 Si Ni goli 2 au ? Na 2.5 over Ni magoli ma3?
Muda bado mkuu atashinda hiyo game
ok, umekula lakini kwa mwendo wa kuweka stake kubwa hivyo jombaa sikushauri uendelee, labda laki tano iwe ni hela ya mboga kwako, la sivyo utajapata shambulio la moyoFeyenood alivyoanza kufungwa dk ya 26 niliamua kuzima simu na kulala. Halftime jamaa akawa nyuma kwa goli moja. alivyotoka mapumzika mapumziko akamningiza mtu bao tatu. 160,000 faida kwa stake ya laki tano.
Mpe Barcelona au totenham au Juve.... Utaemuona poa mjaeFeyenood alivyoanza kufungwa dk ya 26 niliamua kuzima simu na kulala. Halftime jamaa akawa nyuma kwa goli moja. alivyotoka mapumzika mapumziko akamningiza mtu bao tatu. 160,000 faida kwa stake ya laki tano.
Makampuni yote kasoro m-bet na premier bettingEt? wa kusoma hiyo single bet ipo kampuni gani
magoli mtt wa nziMakampuni yote kasoro m-bet na premier betting