Tagawa Mwakitombile
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 468
- 398
Timu za kiingereza si timu za kutegemea sana kwenye mkeka! Siri yangu ya kupiga hela huwa naingia goal.com naangalia games za sku hyo then na-click kila timu kuangalia form yake, head to head history na hyo timu pinzani na pia position ya hiyo timu kwenye table(msimamo) hapa inapata details za kutosha na kwa kila ligi namchukua mtabe anaecheza sku hyo especially akiwa nyumbani then nakuja kulinganisha na points alizopewa na muhindi nikikuta gap ni kubwa sana nampa win! Kwa kila ligi nikipata timu mbili kwa ligi tano nnakua na timu 10 zenye odds za kutosha then naweka hela ya kawaida ( eg 2000-5000) last weekend nmempiga muhindi laki4......fuata nyuki ule asali
mkuu tupia jamvi hapa jukwaani basi tuone kama tunaweza tukalicopy nakupaste au tukalifanyia editng kidogo.