gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,943
- 6,144
Achana na middles wana mgogoro na kocha wao ndo maana unaona matokeo yake ya karibuni ni hovyo.Wakuu Leo twatokaje....
Mi nataka nitoke hivi
Achana na middles wana mgogoro na kocha wao ndo maana unaona matokeo yake ya karibuni ni hovyo.Wakuu Leo twatokaje....
Mi nataka nitoke hivi
Unabetije mkuu?Hockey ndompango mzima
Mkuu hookey unachezaje?Woooooooorrrrra bet won, kwaaliye nifuata big up, baadae natupia tena ice hockey kaa mkao wakula kama uko tayari
HIII MIMI NAIITA NGUMU KUMEZA...OPTION HATARI SANA ILA IKITOKA UNAPIGA HELA YA MAANAMsaada please hii option inamaana gan nimeitoa meridianbet
kwa wenye roho ngumu
1153846415125 Standard account
------------------------------------------
[2/3]
0763 18-03 22:30:00 Marseille-Rennes
First Goal time 28+ 2.15
0209 18-03 22:30:00 Getafe-Eibar
First Goal time 28+ 2.03
0138 18-03 22:30:00 Schalke 04-M'gladbach
First Goal time 28+ 2.31
------------------------------------------
Total: 100000.00
------------------------------------------
Total odd: 4.67
Min win: 145483.33
Min tax: 8187.00
Min payout: 137296.33
Max win: 467343.33
Max tax: 66121.80
Max payout: 401221.53
Combination count: 3
------------------------------------------
18-03 22:28:02
zikitiki 2 una 137296
zikitiki zote una 401221
Mechi zozote hata mojaWakuu turbo payout ya meridian inakuwa active ukiwa umeshinda mechi kuanzia ngapi??
Daah basi Leo wamenibania tu...maana nilikuwa nimeshinda mbili,ila ikagoma kupiga kazMechi zozote hata moja
we itakua ulitaka kufanya magumashi ............. umeona timu zilizobaki zimeshachezea kichapo ukataka uwatoke fastaa kabla mpira haujaisha.Daah basi Leo wamenibania tu...maana nilikuwa nimeshinda mbili,ila ikagoma kupiga kaz
Hiyo hairuhusiwi aseewe itakua ulitaka kufanya magumashi ............. umeona timu zilizobaki zimeshachezea kichapo ukataka uwatoke fastaa kabla mpira haujaisha.
Ndo mana nilihitaji kujua ni kivip inakuwa applicable hii mkuu..we itakua ulitaka kufanya magumashi ............. umeona timu zilizobaki zimeshachezea kichapo ukataka uwatoke fastaa kabla mpira haujaisha.
Mie huwa nashinda Cashout bet Sana Leo nimejisahau kufuatilia online bet UK money za niliweka getafe Na eibar draw nikaeeka shalke to win both team to score Na entrech to win both team to score Na rennes to win bttscore Na auxerre to win btts ILA auxerre kapigwa 2-1 nilitamani nisingeweka Auxerre ILA niliweka 20pence return bado ilikuwa nzuri Na bet nyingine niliweka mongladbach to win both team to score nime lose hiyo Na middlesborough niliweka draw ILA rennes Na Utrecht imeshinda, Kesho nimeweka hizi Chelsea to win bttscore Na Bristol city Na Oxford to win both team to score 30pence Ina return £15:58 Na man city,Burnley,Na notts forest to win Na kufungana pia 30pence return £57.60 plz anayejua Mie nataka kujua over 1.5 Na over 2.5 maana yake Ni nini?we itakua ulitaka kufanya magumashi ............. umeona timu zilizobaki zimeshachezea kichapo ukataka uwatoke fastaa kabla mpira haujaisha.