Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mie huwa nashinda Cashout bet Sana Leo nimejisahau kufuatilia online bet UK money za niliweka getafe Na eibar draw nikaeeka shalke to win both team to score Na entrech to win both team to score Na rennes to win bttscore Na auxerre to win btts ILA auxerre kapigwa 2-1 nilitamani nisingeweka Auxerre ILA niliweka 20pence return bado ilikuwa nzuri Na bet nyingine niliweka mongladbach to win both team to score nime lose hiyo Na middlesborough niliweka draw ILA rennes Na Utrecht imeshinda, Kesho nimeweka hizi Chelsea to win bttscore Na Bristol city Na Oxford to win both team to score 30pence Ina return £15:58 Na man city,Burnley,Na notts forest to win Na kufungana pia 30pence return £57.60 plz anayejua Mie nataka kujua over 1.5 Na over 2.5 maana yake Ni nini?

over 1.5 ni magoli yasipungue mawili Na over 2.5 magoli yasipungue matatu kama sijakosea
 
Mie huwa nashinda Cashout bet Sana Leo nimejisahau kufuatilia online bet UK money za niliweka getafe Na eibar draw nikaeeka shalke to win both team to score Na entrech to win both team to score Na rennes to win bttscore Na auxerre to win btts ILA auxerre kapigwa 2-1 nilitamani nisingeweka Auxerre ILA niliweka 20pence return bado ilikuwa nzuri Na bet nyingine niliweka mongladbach to win both team to score nime lose hiyo Na middlesborough niliweka draw ILA rennes Na Utrecht imeshinda, Kesho nimeweka hizi Chelsea to win bttscore Na Bristol city Na Oxford to win both team to score 30pence Ina return £15:58 Na man city,Burnley,Na notts forest to win Na kufungana pia 30pence return £57.60 plz anayejua Mie nataka kujua over 1.5 Na over 2.5 maana yake Ni nini?
Goli 3 kwenda juu
 
Wakuuuu Mimi naomba kufahamishishwa vizuri kuhusu meridian online.Wanapoandika maximum payout na wakati huo huo wanakwandia minimum payout.max payout inakuwaje na minimum payout inakuwaje?
 
ndio kwanza sa 2,hii meridian bure kabisa

com.google.gwt.user.client.rpc.StatusCodeException: 500 Internal Server Error
Internal Server Error
The server encountered an internal error or misconfiguration and was unable to complete your request.

Please contact the server administrator, webmaster@localhost and inform them of the time the error occurred, and anything you might have done that may have caused the error.

More information about this error may be available in the server error log.

Apache/2.2.22 (Ubuntu) Server at meridianbet.co.tz Port 443
 
Leo twende hivi
Celtic win
Wolfsburg win
Bayern win
Sheffield win
Burnley win
Atletico win
CSKA Moscow win
Besiskas win
Panathiakos win
Sporting CP win
Feyenoord win
Caen win
Fc Porto win
 
Leo twende hivi
Celtic win
Wolfsburg win
Bayern win
Sheffield win
Burnley win
Atletico win
CSKA Moscow win
Besiskas win
Panathiakos win
Sporting CP win
Feyenoord win
Caen win
Fc Porto win
Hapo ni Bayern,Wolfsburg,bunley,Atletico,sporting zote win.Hao wengine wape double chance
 
West Bro Win
Ipswich Win
Swansea Win
Caen Win
Wale wenye hela zao timu hizo sijacheki zina Odds ngapi
 
7daf889f2f4f5236a07d760f73a8f5a8.jpg
4606e39d58f563147fe7efc1cf85d430.jpg
 
Timu za kiingereza si timu za kutegemea sana kwenye mkeka! Siri yangu ya kupiga hela huwa naingia goal.com naangalia games za sku hyo then na-click kila timu kuangalia form yake, head to head history na hyo timu pinzani na pia position ya hiyo timu kwenye table(msimamo) hapa inapata details za kutosha na kwa kila ligi namchukua mtabe anaecheza sku hyo especially akiwa nyumbani then nakuja kulinganisha na points alizopewa na muhindi nikikuta gap ni kubwa sana nampa win! Kwa kila ligi nikipata timu mbili kwa ligi tano nnakua na timu 10 zenye odds za kutosha then naweka hela ya kawaida ( eg 2000-5000) last weekend nmempiga muhindi laki4......fuata nyuki ule asali
 
Nyuki tupe asali za leo na sie tule pesa
 
Fanya hivyo uweke za leo tufate nyuki tule asali
 
Kasugugu tupe odds zako sasa tuzifate muhindi anase kwenye ulimbo
 
Back
Top Bottom