Pole mkuu ligi ya England ingekuwa sio ligi ya kuimini tena maana timu kubwa ndio zinaharibuChelsea wameniharibia weekend
Pole mkuu ligi ya England ingekuwa sio ligi ya kuimini tena maana timu kubwa ndio zinaharibuChelsea wameniharibia weekend
Sijaweka mapenzi Bob mimi shabiki Liverpool leo Man U anashindausiweke mapenzi kwenye betting,hii ni vita utapoteza.fuata hela ilipo = man city
Hooooraaaa. BET WONMy Today Tips:
*Atalanta - Bologna, UNDER 3.5 odds 1. 19
*Sampdoria - Chievo, UNDER 3.5 odds 1.30
Stake 300000
Winning 449000 inanitosha kwaleo
Dah! Mkuu next bet itabidi nikukopy asee, coz ubashiri wako uko very clearHooooraaaa. BET WON
NO MORE LOSS....
Leo umenipoteza kweli toka juzi ningejiamini Na kuweka sporting Lisbon,fayernood Na juventus washinde Na wafingane magoli Leo ningekuwa Meno nje.Tottenhum no, Juve no, hapo nampa Barca naweka laki tano tena.
Barca Ni Jipu.Barca Leo anadindiwa draw
Nilikwambia mkuu na matokea ndio hayo draw ya 2-2.Goal 2.5 over (2-2)
Usianze kutuwekea gundu mkuu, wengine tumeweka nyumba ati
MKUU NAKUPA SALUTIBarca Leo anadindiwa draw
Usianze kutuwekea gundu mkuu, wengine tumeweka nyumba ati
Goal 2.5 over (2-2)
I salute you broda, kweli nimeamini mpira unadundaNilikwambia mkuu na matokea ndio hayo draw ya 2-2.
Niliwaambia mchana barca at a draw ya 2-2 wekeni goal 2.5 over hamkuniamini .Mimi nimelamba bingoNimempa Barca kwa point 1.39X500,000 = 695,000 hapo faida yangu ni 195,000 siyo mbaya.
NB: Bet what you afford to loose hii ni kamari. Tutakiane kila la heri.
Usianze kutuwekea gundu mkuu, wengine tumeweka nyumba ati
Mkuu Kesho nipe mechi itakayorudisha hela yanguNiliwaambia mchana barca at a draw ya 2-2 wekeni goal 2.5 over hamkuniamini .Mimi nimelamba bingo
Nilichungulia kwa predictor anajiita WINDRAWWIN namfataga sana ananipaga bingo kila siku nakula.I salute you broda, kweli nimeamini mpira unadunda